Madhara ya Utumiaji wa Kondom

Madhara ya Utumiaji wa Kondom

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
MADHARA YA UTUMIAJI WA KONDOMU:

1.Kondomu hupunguza nguvu za kiume kwa sababu ya mafuta yana sumu,ukitaka kujua chukua kidole tumbukiza ndani ya kondomu lala nacho mpaka asubuhi ukiamka angalia kidole chako jinsi kilivyoathirika.

2. Mchukue mdudu mtumbukize ndani ya kondomu halafu kaa kama dakika tano halafu muachie utamkuta amekufa ama ameathirika.
3. Kondomu humsababishia mtumiaji kupata ugonjwa wa ngiri.

4. Husababisha misuli ya dhakari isifanye kazi vizuri kwa sababu unapoivaa kondomu hubana na baada ya siku kadhaa hudhoofisha dhakari ya mtumiaji.

5. Na mara nyingine humfanya mtumiaji akifanya tendo la ndoa hushindwa kutembea.
6. Kondomu husababisha ugonjwa wa ngozi kwa mtumiaji.

7. Kondomu husababisha ugonjwa wa kifua.Pia inapochomwa kama takataka binadamu akivuta harufu yake anaweza kupata madhara ya kifua.

8. Kondomu haizuii Ukimwi ila husababisha kuenea kwa ukimwi ukitaka kujua hilo chukua pilipili utwange changanya na maji ndoo nzima alafu mimina katika kondomu halafu kaa kwa dakika tatu halafu ramba kwa nje ya kondomu utasikia pilipili inakuwasha kwa sababu kondomu ina vitundu vidogo vidogo ambavyo haviwezi kuonekana kwa macho yako.

ANGALIA AFYA YAKO: Kwa sababu tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na magönjwa ya viuno,vifua yamezidi. Huu ni Utafiti Wangu ukiweza na Wewe Fanya fanya Utafiti kuhusu hiyo kondom.

condom_foreskin_1_large.png
 
Sasa unatupa presha mkuu condom kwamba sio kinga kwa magonjwa ya kuambukiza especially ukimwi???
impact
basi wabongo asilimia kubwa ni positive
 
Ni kweli. Ndio maana RC wanapinga kwa nguvu zote matumizi haya ya uzazi wa mpango..
 
Sasa unatupa presha mkuu condom kwamba sio kinga kwa magonjwa ya kuambukiza especially ukimwi???
impact
basi wabongo asilimia kubwa ni positive

hakuna presha, kuna wengine wako tayari kuhesabu baya moja against mazuri 100... I think mleta mada anahitaji pia kuleta faida za condom na pia madhara yatokanayo na kutotumia condom
 
Duuuh....unaweza kuwa mwaminifu kabisa tatizo linakuja upande wa pili wa mpenzio maana hutajua ukweli wake moyo wa mtu kichaka.Mimi naona hapa pana shida kubwa
 
sija wahi sikia ayo makitu mmmmh by the way hakuna faida isio na hasara. miaka nenda rudi. faida na hasara.
 
Hata mi nilikua naskia kuwa zinaeneza maradhi na fangasi dawa ya zinaa ni kuacha ngono za ovyo kwa kujifariji kuwa ndomu zinazuia kumbe hamna kitu
 
Sasa mkuu iyo condom we unavaaga muda masaa matatu... na boro lako kubwa ka ndoo ya maji kwene condom... tumien condom ayo madhara hakuna... ukimwi ni mpaka michubuko... na condom inazuia michubuko kupata
 
Back
Top Bottom