Madhara ya Utumiaji wa Kondom

Madhara ya Utumiaji wa Kondom

tunashukuru kwa taarifa lakini naomba utusaidie fact zaidi kuhusu hiyo research yako.
1.mafuta gani yapo ndani ya condom na yanapunguza vipi nguvu za kiume?
2. Fact ya mdudu sio strong, hata antibiotic zinaua mdudu na sio binadamu.
3. nini kilichopo ndani ya condom kinasababisha ngiri?
4. umethibitisha vipi kwamba baadhi ya w2 kushindwa kutembea ni sababu ya matumizi ya condom?
5. ni vipi condom husababisha kifua?
6. kwanini isizuie UKIMWI na wapo watu wana wapenzi +ve wanatumia condo hwajaambukizwa, unalizungumziaje ilo?
RESEACH YAKO IMEKUCHUKUA MUDA GANI?
 
Kuna maana gan ya kutoa elimu juu ya utumizi wa kondom wakat inatambulika kuwa inamadhara????
 
Back
Top Bottom