Madhara ya Viagra

Madhara ya Viagra

AK-47

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2009
Posts
1,373
Reaction score
202
Can taking Viagra make you go deaf? Hundreds of cases of hearing loss reported among users



It may help you reach the heights of passion, but Viagra could stop you enjoying the pillow talk afterwards.
The little blue pills taken by hundreds of thousands of British men may cause deafness, doctors have warned.
Viagra and similar impotence drugs have been linked to hundreds of cases of sudden hearing loss around the world, including some in the UK.

article-1388497-0C23E19F00000578-276_224x423.jpg

article-1388497-0C23E1B600000578-890_224x423.jpg



Risks: Viagra has been linked to hundreds of cases of hearing loss, leading to warnings from doctors that the blue pills may cause deafness


Users in the U.S. are now being warned that the drugs could damage hearing, and the British specialists behind the findings want the same alert to be given here.
http://www.dailymail.co.uk/health/a...earing-loss-cases-reported.html#ixzz1MneqPyPI
 
yah its true why people they want to use it because of fearing it seems this they are not good at all
 
Jamani kuleni chakula bora mtapata nguvu sio haya madawa ya wazungu hayana maana check hizo
 

Attachments

  • v2.jpg
    v2.jpg
    24.2 KB · Views: 333
  • v3.jpg
    v3.jpg
    25.5 KB · Views: 310
Haya ni madhara ya kuchanjia komamanga lingali mtini halafu akasahau kulikata ilipofikia size muafaka, viagra inaondoa pre ejaculation tu na sio kukuza maumbile.
 
uuuuuuuuuuwwwiiii nafwa huku kumbe ndio itakuwa hivyoooo ngoja niachane na hiyo kitu...
 
sasa hii ni viagra au hayo madawa ya kuongeza size
 
Kwa wanaotumia zile madawa za kuongeza nguvu za kiume aka viagra, bila ushauri wa dokta ni hatari sana! Hizi dawa zna tabia ya kutengeneza 'addiction' ukitumia mara kwa mara utajikuta huwezi fanya tendo bila hiyo.. Bila kuwezeshwa..
Take care!
 
Hivi hizi dawa wanaziita viagra zina side effect gani?
 
Sana, kama una shida ya jogoo kupanda nichek 0752 693 692
 
Can taking Viagra make you go deaf? Hundreds of cases of hearing loss reported among users



It may help you reach the heights of passion, but Viagra could stop you enjoying the pillow talk afterwards.
The little blue pills taken by hundreds of thousands of British men may cause deafness, doctors have warned.
Viagra and similar impotence drugs have been linked to hundreds of cases of sudden hearing loss around the world, including some in the UK.

article-1388497-0C23E19F00000578-276_224x423.jpg

article-1388497-0C23E1B600000578-890_224x423.jpg



Risks: Viagra has been linked to hundreds of cases of hearing loss, leading to warnings from doctors that the blue pills may cause deafness


Users in the U.S. are now being warned that the drugs could damage hearing, and the British specialists behind the findings want the same alert to be given here.

MADHARA YA KUTUMIA VIAGRA au VEGA ( Sildenafil)?

viagra au vega,ni dawa inayotumika sana miongoni mwa wanaume kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya mapenzi ( sex),dawa hizi mara nyingi zinatumiwa na watu wenye matatizo katika mfumo wa uzazi yaani wasioweza kusimamisha vizuri kiungo cha uzazi lakini pia,imekua ikitumikahata kwa watu wasio kua na tatizo hilo ila anaitumia kwaajili yakumkomoa mwanamke flani na wengine hupenda kuiga vile wanavyofanya waigiza sinema za ngono (porn graph). bila kutambua madhara yake makubwa watu wanajiingiza kuzimeza dawa hizi,kwaleo napenda kukufahamisha jinsi inavyofanya kazi na madhara yake.


JINSI INAVYOFA
NYA KAZI

Viagra,haimfanyi mtu kupata ashki ya kufanya ngono bali yenyewe hufanya kazi endapo tu mtu atakua amepata ashki ya kufanya ngono. ili upate kuelewa jinsi inavyofanya kazi nibora kuelewa jinsi mwanaume anavyoweza kusimamisha uume. pindi mwanaume anapopata ashki ya kufanya mapenzi,mishipa ya mfumo wa fahamu ( nervours system) ilioko katika misuli ya uume hutoa kemiko zinazoitwa Nitric oxide (NO), ambayo huamrisha

viamshi ( enzymes) kuzalisha kemiko zingine tena zinazoitwa messenger Cyclic guanosine monophosphate ( cGMP ). cGMP huifanya misuli laini ya uume kujiachia na kutanuka ambapo matokeo yake huiruhusu damu kuingia na kujaa vizuri katika mishipa midogomidogo ( blood cappilaries) ilioko katika uume, hapo ndipo uume

unaposimamavizuri sasa. hivyo basi Viagra hufanya kazi ya kusawazisha kiwango cha hii kemikali inayoitwa Cyclic guanosine Monophosphate ( cGMP ).madhara ya Viagra ;kwa mara ya kwanza dawa hii ilitumika kutibu tatizo la pressurelakini ilionesha maajabu sana pale ilipo onekana kuwafanya wagonjwa kua na nguvu nyingi sana

za kusimamisha maumbileyao ya uzazi, baada ya hapo zikazuiwa kutumika mahospitalini lakini baadae zikafanyiwa uchunguzi na zikarudishwa tena rasmi kwaajili ya watu wenye matatizo ya kusimamisha, ilikua ikitumika kwa watu hasa waliokosa nguvu za kiume kwasababuza kisaikolojia hivyo basi chini ya usimamizi wa

dactari walikuawanapewa dawa hizi huku wakipewa ushauri nasaha ili wajiamini kua wanauwezo wa kufanya vizuri tendo hilo baada ya muda flani mgonjwa hurudi katika hali yake ya kawaida na kuacha kuzitumia dawa hizi lakini kwa sasa watu wengi wanatumia hata kama anatatizo la mfumo wa uzazi bado atalazimishia tu kuzitumia matokeo yake ni kama ifuatavyo;


~ Mtu anaetumia viagra bila ushauri wa dactari huku akiwa na matatizo mengine ya kiafya kama pressure yuko hatarini kupoteza ihai wake.


~ Kari mtu anavyotumia Viagra ndivyo tatizo linavyozidi kua baya zaidi, kwasababu viagra inamfanya asimamishe kwa muda mfupi hivyo akitaka kufanya mapenzi siku ingine lazima azimeze tena dawa hizi hali hii ya kuzimeza kila wakati inamfanya kua torelance ( tegemezi hali ya kumfanya azidi kuongeza dozi yake ili apate nguvu

zinazomtosheleza ) mwishowa siku dawa hizi hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.


~ Mtu anaetumia Viagra yuko hatarini kupata ukiziwi,


~ mtu anaetumia viagra ,yuko hatarini kupoteza uwezo wa kuona hii ni kutokana kwamba dawa hizi hua baadhi ya viachocheo vinavyofanya kzai ya kusafirisha mwanga na picha kuelekea katika mfumi wa fahamu kuharibiwa na dawa.


hivi.kulikoni kutumia dawa hizi ni bora ukatafuta dawa za mitishamba,mbona kunadawa za mitishamba nimeshuhudia zikifanya kazi kwanini basi watu bado wanakimbilia chemotherapy ambazo zinaongeza magonjwa miilini mwetu. Napenda kukushauri kueoukana na kukimbilia kutumia dawa hozi Viagra ni hatari sana.


10153790_852220204818416_8918589752661822155_n.jpg
 
Usiwe mzembe. Google viagra side effects utapata majibu tena kwa mapana na marefu. Hakikisha huna matatizo ya moyo (hata yasiyojulikana) wala high blood pressure. Na kamwe usichanganye viagra na pombe (kali). Na wanasema ukianza kutumia ndo hivyo tena huwezi acha. You cannot stop kwani unakuwa umeua netiweki kabisa. Jitahidi kutumia natural methods (mf. kubadili mlo, kufanya mazoezi...) na madawa hatari kama viagra iwe option yako ya mwisho!
 
Kwanza haitwi VIGRAAA but VIAGRA. Haina madhara makubwa saaana kwa wanaume zaidi ya kukubadilisha jinsia kutoka mwanaume kwenda mwanamke.
 


Tunapowaambia CCm ni mauti kwa taifa hamuelewi. Mnashangilia eti imewaletea shule za kata. Shule za kata ndizo zimewapofusha hata msijue kitu gani mnafanya. Ninaziona zimeongeza ubishi wa kijuha usio kuwa na uelewa wala mwelekeo.

Iondoeni ccm madarakani mpate elimu bora.
 
Back
Top Bottom