Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

jamani kama haya mambo ni kweli tdfa na tbs kazi yake ni nn jamani au nikupitisha bidhaa zenye madhara kwa wananchi wake? maana tangu nimesikia redbull zinamadhara lakini bado zipo madukani
 

we umetumwa si bure
 
Ni kweli ina madhara, nimewahi jamaa akizirai baada ya kunywa red bull nne!! Tusipuuze taarifa hii!
 
Mwenye macho haambiwi ona na mwenye masikio haambiwi sikia. Mkuu kivato asante sana kwa mada nzuri na yenye kuelimisha
 
'Pass me that Redbull' sorry abt that what were you saying mate?
 

Hii inawezekana ni effect ya caffaine iliyo kwenye Red Bull na sio Glucuronolactone....halafu je unatumia dawa nyengine zozote? Ina weza pia kuwa interaction na dawa...
 
sasa tujitahidi kula na kunywa vyakula natural maana viwandani nako hakuaminiki,yaani mpaka madhara yatokee ndio tunapiga marufuku. turudi kwenye asili yetu binadamu .
 
anyway nashukuru kwa mleta post, inawezekana ukweli kuhusu hii ishu upo ingawa inawezekana sio 100% sasa kwa sisi ambao tunatumia Red Bull (red 20 au zaidi kwa wiki nakunywa) je kuna altenative yoyote maana uzima kwanza..... tusaidiane wadau
 
Namshukuru mleta mada kwa kutufungua macho juu ya madhara ya hii kitu. Ni hatari!
 
Shosti wangu alitumia red bull kwa kipindi kirefu ikamsababishia tatizo la ini na figo na ilimfanya kumvimbisha mwili mzima
 
kaka Asante kwa taarifa lakini, nina imani waliojua ukweli kuhusu RED BULL mpaka sasa ni wana JF na ndugu zao wachache, huku jamii ya watanzania tukiwo wengi.

Mimi nitoe mwito kwa wana JF walio na mawasiliano na watu wa TBS wawape taarifa ili wathibitishe kisha watangazie umma wa wa-watanzania kuwa kitu hiyo haifai. Itasaidia kuokoa Watanzania wengi.

Mi kwa kweli namshukuru mungu, sikumbuki kama nilishawahi kuonja kitu hiyo.

Hafu- NDUGU uliyekuwa unatumia kisha ukacha baada ya kufanya tafiti, mbona hukuhabarisha wanajamii kuhusu hiyo kitu na kutoa taarifa kwa wahisika?
 
Nasikitika nimekunywa kwa miaka mingi nikiona inanisaidia kuweza kufanya kazi kwa muda mrefu (masaa14 kwa siku). WanaJF nichangieni nauli niende kwa babu loliondo
 
Tatizo la waTanzania hasa vijana ni kushabikia kila kitu kipya kinachoingia sokoni! Si Red bull pekee yenye madhara tena makubwa kwa afya zetu! Kuna vitu kama soda(hasa zenye majina ya matunda), juis za viwandani n.k! Sukari na kemikols zilizomo mle ni Hatari kwa afya zetu!

Cha ajabu kuna baadhi ya familia zetu kila baada ya mlo watoto hushushia soda au industrial juice! Wanaacha matunda yaozee sokoni! Jaman tubadilike,turudia vitu natural na artificial tuviache kando!

Baadhi ya madhara ya soda na juic ni: kuharibu mfumo wa uzazi, kupunza nguvu za kiume, chanzo kikubwa cha kisukari,baadhi ya magonjwa ya kansa hasa za kibofu na magonjwa ya figo na ini! Hayo ni baadhi tuuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…