Tyrone Kaijage JF-Expert Member Joined Jul 19, 2021 Posts 1,617 Reaction score 3,405 Aug 29, 2022 #1 Siku ya inspection niliambiwa niinue locker ambalo lilikuwa fixed, tulikuwa hatujui basi tulikuwa watatu, jamaa wanatuambia wanyanyueni tunataka kufanya usafi hapo chini. Tukajipinda daah! Mwisho wa siku wakawa ma brother.
Siku ya inspection niliambiwa niinue locker ambalo lilikuwa fixed, tulikuwa hatujui basi tulikuwa watatu, jamaa wanatuambia wanyanyueni tunataka kufanya usafi hapo chini. Tukajipinda daah! Mwisho wa siku wakawa ma brother.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Aug 29, 2022 #2 Form four hawafanyii salamanda madharau, hayo ni mambo ya form ten.