Madharau gani ulifanyiwa na form four ukiwa form one/ njuka

Madharau gani ulifanyiwa na form four ukiwa form one/ njuka

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1,617
Reaction score
3,405
Siku ya inspection niliambiwa niinue locker ambalo lilikuwa fixed, tulikuwa hatujui basi tulikuwa watatu, jamaa wanatuambia wanyanyueni tunataka kufanya usafi hapo chini.

Tukajipinda daah! Mwisho wa siku wakawa ma brother.
 
Form four hawafanyii salamanda madharau, hayo ni mambo ya form ten.
 
Back
Top Bottom