Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Gazeti la mwanahalisi liliwahi kupatwa na misukosuko ya kufungiwa kama lilivyo kanisa la Rev Gwajima.
Kama mtakumbuka, Waandishi walewale wa mwanahalisi ambao walikuwa victims wa kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi walihamia gazeti la Mawio wakiwa na maudhui yaleyale.....na kibano kiliendelea.
Sasa hata kwa Gwajima, inawezekana...usajili wa kanisa la ufufuo ndio umefungiwa.
Sio majengo wala Gwajima mwenyewe.
Tueleweshane kwa wanaojua sheria.