Madhehebu ya dini wahurumieni waumini wenu

Madhehebu ya dini wahurumieni waumini wenu

Huduma Bora inataka gharama.
Sasa walimu watalipwaje, vacation,nk.
Kama una kipato cha kubeep sio lazima upeleke hizi shule
 
Kumbe🙄 ila ukiendekeza lazima upigwe alama😆
Upigwe alama na nani mkuu wakati tunakutana kwa ibada kuu kwa week mara moja na ulipokaa juzi siyo utakapokaa kesho?

Na ikiwa kweli mtu anaamini ktk utimilifu wa ibada hawezi akawa na hela mfukoni halafu asiende kutoa sadaka kiimani hapo amekuja Kanisani kutembea siyo kumuomba Mungu.
 
Bila maokoto hakuna ibada nmekusoma mkuu😜
 
Siyo inatosha mkuu hata ule wakati wenzako wananyanyuka kwenda kutoa walicho nacho ukitulia ulipokaa hakuna atakayekuja kukusimamisha kwamba nenda katoe sadaka.

Maana hauna so siyo kazi ya mtu kujua kama unayo au hauna hiyo sadaka hata nashangaa mleta mada anacholalamika ni nini!
iko siku utaelewa
 
Wanaendelea kudai kama kama ambavyo wanadai fees
Then usitoe hakuna atakaekupekeka polisi

Ama hilo la ada kama una mwanao anasoma huko tujue lazima ulipe ada nono itakayosaidia mazingira fundishi kwa mwanao pamoja na kulipa walimu wazuri watakaoweka materials bora kwenye ubongo wa mwanao.
 
Back
Top Bottom