bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Upigwe alama na nani mkuu wakati tunakutana kwa ibada kuu kwa week mara moja na ulipokaa juzi siyo utakapokaa kesho?Kumbe🙄 ila ukiendekeza lazima upigwe alama😆
Nikisema sina hela unaweza ukaniambia ni mbinu gani itakayotumika kunilazimisha kuchangia?Michango ni lazima mkuu, huwezi kwepa kuchangia
Bila maokoto hakuna ibada nmekusoma mkuu😜Upigwe alama na nani mkuu wakati tunakutana kwa ibada kuu kwa week mara moja na ulipokaa juzi siyo utakapokaa kesho?
Na ikiwa kweli mtu anaamini ktk utimilifu wa ibada hawezi akawa na hela mfukoni halafu asiende kutoa sadaka kiimani hapo amekuja Kanisani kutembea siyo kumuomba Mungu.
Kha! Kwenye Uislamu umchangishe nani, ibada malipo yake mbinguni, Usheikh wako na Uimam wako malipo yako kwa Mungu.Kwani huko ni tofauti na huku?
Wanaendelea kudai kama kama ambavyo wanadai feesNikisema sina hela unaweza ukaniambia ni mbinu gani itakayotumika kunilazimisha kuchangia?
iko siku utaelewaSiyo inatosha mkuu hata ule wakati wenzako wananyanyuka kwenda kutoa walicho nacho ukitulia ulipokaa hakuna atakayekuja kukusimamisha kwamba nenda katoe sadaka.
Maana hauna so siyo kazi ya mtu kujua kama unayo au hauna hiyo sadaka hata nashangaa mleta mada anacholalamika ni nini!
Fafanua.iko siku utaelewa
Then usitoe hakuna atakaekupekeka polisiWanaendelea kudai kama kama ambavyo wanadai fees