Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
- Thread starter
-
- #21
Huna akili, umetegwa umetegeka. Sh. ngapi ulikuwa unamdai?Niliishia kumla tu na deni likaisha hapo hapo.
Kwani kwenye vikoba mbona huwa wanalipaKwanza kwa nini watu husema mwanamke hakopeshwi? Tuanzie hapo...
Mimi binafsi nimenusurika kuuawa baada ya kuitiwa mwizi kisa tu kukumbusha deni langu.
Aisee niliapa kutokopesha tena mwanamke.
Kuna jamaa naye alitoa uzi humu wa kupigwa na mmiliki wa bar kisa kudai change yake ya 10k TZS.
Alifikia hatua ya kusingiziwa vitu vya hovyo kuwa aliiba na kumdhalilisha mmiliki huyo(wa kike) kijinsia, wakati haikuwa kweli.
Aisee kwa nini mwanamke hakopeshwi?
Kabisa, ila acha uphaller buddyKwani kwenye vikoba mbona huwa wanalipa
Sio shida zangu mieBeba zege acha uvivu
Kama sio zako basi unapokopeshwa hakikisha unalipa kile ulichokopeshwa.Sio shida zangu mie
Kumbusha acha aibu za kipuuzi mkuu. Ni hela yako, otherwise unamtaka.Kuna manzi nilimkopesha mwezi wa kumi mwaka jana akaniambia atanilipa mwezi wa kumi na moja ila mpaka sasa kimya na mi sijamkumbusha madem bhana[emoji23][emoji23]