Madhila gani ulikumbana nayo kwa kumkopesha mwanamke?

Madhila gani ulikumbana nayo kwa kumkopesha mwanamke?

Kwanza kwa nini watu husema mwanamke hakopeshwi? Tuanzie hapo...

Mimi binafsi nimenusurika kuuawa baada ya kuitiwa mwizi kisa tu kukumbusha deni langu.

Aisee niliapa kutokopesha tena mwanamke.

Kuna jamaa naye alitoa uzi humu wa kupigwa na mmiliki wa bar kisa kudai change yake ya 10k TZS.

Alifikia hatua ya kusingiziwa vitu vya hovyo kuwa aliiba na kumdhalilisha mmiliki huyo(wa kike) kijinsia, wakati haikuwa kweli.

Aisee kwa nini mwanamke hakopeshwi?
Kwani kwenye vikoba mbona huwa wanalipa
 
Kuna manzi nilimkopesha mwezi wa kumi mwaka jana akaniambia atanilipa mwezi wa kumi na moja ila mpaka sasa kimya na mi sijamkumbusha madem bhana[emoji23][emoji23]
 
Kuna manzi nilimkopesha mwezi wa kumi mwaka jana akaniambia atanilipa mwezi wa kumi na moja ila mpaka sasa kimya na mi sijamkumbusha madem bhana[emoji23][emoji23]
Kumbusha acha aibu za kipuuzi mkuu. Ni hela yako, otherwise unamtaka.
 
Back
Top Bottom