Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Uko sahihi kabisa. walisemaga "Mind ur own business".mimi n mtu ambaye hua sijali kuhusu nani ni nani na anafanya nn, so as long as ameamua kutumia kiungo chake mwenyewe sion haja coz n mtu mzima anajua kibaya na kizur
hilo ni jibu uliza swali.Uko sahihi kabisa. walisemaga "Mind ur own business".
Napata shida kukubaliana na ww. 1. Mbona mdomo unasaidia sana kupumua kama njia mbadala esp. Pale inapotokea pua zimeziba?Naongeza hoja;
Madhumuni ya mdomo ni, 1. Kuongea 2. Kula.
Dhumuni la matiti ni, kumnyonyesha mtoto.
Nje na matumizi hayo ni kama alivyosema mtoa uzi...
Asanteni, Nawasilisha
Ni hayo tu mheshimiwa. Asante.hilo ni jibu uliza swali.
Hiyo point ni irrelevant kwenye hoja yangu kwamba watu wengine wanafanya sex si kwa sababu wanataka raha ya sex au watoto.No sir. Point yangu hapo ni kwamba Mpokeaji anataka pesatu; lakini wakati mwingine anapokea hata kile ambacho sio lengo lake i.e. anapokea pia maambukizi.
Mdomo kupumua? Nimejaribu hapa nimeishia kucheka. Unaweza kupumulia mdomo kwa siku ngapi mkuu?Napata shida kukubaliana na ww. 1. Mbona mdomo unasaidia sana kupumua kama njia mbadala esp. Pale inapotokea pua zimeziba?
2. Dhumuni la matiti haliwezi kuwa ni pamoja na kuongeza uzuri wa umbile la mwanamke? Ninawaona wanawake wengi hususan rika la kati wanapambania sana wawe na matiti "saa sita"?
Ni kweli. Wengine wanafanya sex kwa kupata pesa. Je, Wanaishia hapo pa kupata pesa au wanapata na kitu kingine?Hiyo point ni irrelevant kwenye hoja yangu kwamba watu wengine wanafanya sex si kwa sababu wanataka raha ya sex au watoto.
Wengine wanafanya sex kwa kutaka pesa.
Sasa kama wanapata magonjwa, wanapata shahawa, wanapata mkojo, that is irrelevant to my point.
Point yangu ni kuwa wanafanya sex kupata hela.
Logical non sequitur fallacy.
Umeweka point ambayo haiongezei wala kuipunguzia nguvu hoja yangu.
Point ambayo inqjaza maneno tu, maneno ambayo ni irrelevant. Hayana maana yoyote kwenye argument yangu.
Ni kama ungesema wanaona chupi nyekundu pia.
So what?
Irrelevant point.
Hii ni kwa viumbe vyote?Madhumuni ya sex ni haya:
1.Kuburudisha mke na mume
2.Kuzaa watoto
Nje ya hapo ni uovu na uasi kwa Mungu
Kwani wapi nimesema wanaishia hapo?Ni kweli. Wengine wanafanya sex kwa kupata pesa. Je, Wanaishia hapo pa kupata pesa au wanapata na kitu kingine?
Mhhh! Labda ww hujapata kuugua mafua. Zipo nyakati Unatumia mdomo kupumulia e.g. Umekimbia kasi na Unahema. Umepata mafua na pua zimeziba- unatumia mdomo kupumua.Au labda ulielewaje hoja ya kupumua kwa mdomo? Maybe kiswahili cha kimaasai kinaleta shida. Hata kama ni kwa dk. chache, lakini si umetumia mdomo?Mdomo kupumua? Nimejaribu hapa nimeishia kucheka. Unaweza kupumulia mdomo kwa siku ngapi mkuu?
Matiti kuwekwa yaonekane vizuri na wadada means hayajatumika bali yamehifadhiwa tu vizuri. Ni kama unavyopiga mswaki kinywani ili kiwe safi
Sasa mbona kwenye hiyo list isiyo na mwisho uliyotoa mimi nilitaja kitu kimojawapo - magonjwa? BTW nimeweka hoja ambayo ww hujaizungumzia na wala hujasema wanaishia hapo. Mjadala utaendeleaje kama inakuwa so "restricted" kuweka "addendum"Kwani wapi nimesema wanaishia hapo?
Mbona unaweka hoja ambayo mimi sijaizungumzia?
Ukitaka hoja ya "wanaishia hapo?" hiyo haina mwisho.
Wengine wanapata zawadi ya vitabu, wengine wanapata safari za Ulaya, wengine wanapigwa risasi, wengine wanaunguzwa moto. Utaishia wapi katika msururu wa list hii isiyo na mwisho?
Na kwa nini hii list iwe muhimu kwangu wakati mimi lengo langu ni kuonesha watu wengine wanafanya sex ili kupata hela, si kwa sababu wanataka raha au mtoto?
Suala la mdomo, kiungo kimoja kikifanya kazi ya kiungo kingine hatuwez kusema ni kazi yake, kwa mfano ukipaliwa na chakula punje za wali zikatokea puani utaniambia kazi ya pua ni kutoa chakula au kucheua?Mhhh! Labda ww hujapata kuugua mafua. Zipo nyakati Unatumia mdomo kupumulia e.g. Umekimbia kasi na Unahema. Umepata mafua na pua zimeziba- unatumia mdomo kupumua.Au labda ulielewaje hoja ya kupumua kwa mdomo? Maybe kiswahili cha kimaasai kinaleta shida. Hata kama ni kwa dk. chache, lakini si umetumia mdomo?
Kukuza matiti ni kuyahifadhi? Kuhifadhi naona wanatumia kitu vazi kinaitwa sidiria. Lakini kutumia madawa ili matiti yasimame "dede" au yaongezeke ukubwa wake sio kuyahifadhi.
Hoja ya matiti nilisema ni katika "kuongeza uzuri"Suala la mdomo, kiungo kimoja kikifanya kazi ya kiungo kingine hatuwez kusema ni kazi yake, kwa mfano ukipaliwa na chakula punje za wali zikatokea puani utaniambia kazi ya pua ni kutoa chakula au kucheua?
Suala la matiti, wadada kukuza matiti huwez kusema ni kazi ya matiti. Mfano mtu akitumia madawa kukuza uume bado kazi yake itabaki ile ile kukojoa na sex
Kuongeza uzur siyo kazi mkuu, kila kitu kwenye mwili basi kinaongeza uzuri. Kazi/madhumuni ni zile ambazo kisipokuwepo basi hakuna kitakachoendelea, mfano usipokuwa na pua huwezi kunusa hiyo ni kazi, lakin mtu akitoboa pua huwez kusema kazi ya pua ni kuongeza uzuri coz kuna wengine pua ikitobolewa hatuoni huo uzuri ulioongezeka. Kazi ni za lazima ila hayo ya uzuri itategemeana na mitazamo ya watu. Mwingne ataona kizur mwingne ataona kaharibu tuHoja ya matiti nilisema ni katika "kuongeza uzuri"
Hoja ya mdomo, kama unavyosema mwenyewe; ni kazi ya dharura sio kazi yake mahsusi. Lakini kazi hiyo inafanyika.
Show show za kwenye porno, ni kwa ajili ya kutengeneza pesa.Kuna watu wanaofanya sex kwa madhumuni zaidi ya hayo mawili??
Hoja yako ni irrelevant, hususan kwenye kuninukuu mimi na hoja yangu.Sasa mbona kwenye hiyo list isiyo na mwisho uliyotoa mimi nilitaja kitu kimojawapo - magonjwa? BTW nimeweka hoja ambayo ww hujaizungumzia na wala hujasema wanaishia hapo. Mjadala utaendeleaje kama inakuwa so "restricted" kuweka "addendum"