Madhumuni ya sex

Madhumuni ya sex

mimi n mtu ambaye hua sijali kuhusu nani ni nani na anafanya nn, so as long as ameamua kutumia kiungo chake mwenyewe sion haja coz n mtu mzima anajua kibaya na kizur
Uko sahihi kabisa. walisemaga "Mind ur own business".
 
Naongeza hoja;

Madhumuni ya mdomo ni, 1. Kuongea 2. Kula.
Dhumuni la matiti ni, kumnyonyesha mtoto.

Nje na matumizi hayo ni kama alivyosema mtoa uzi...

Asanteni, Nawasilisha
Napata shida kukubaliana na ww. 1. Mbona mdomo unasaidia sana kupumua kama njia mbadala esp. Pale inapotokea pua zimeziba?
2. Dhumuni la matiti haliwezi kuwa ni pamoja na kuongeza uzuri wa umbile la mwanamke? Ninawaona wanawake wengi hususan rika la kati wanapambania sana wawe na matiti "saa sita"?
 
No sir. Point yangu hapo ni kwamba Mpokeaji anataka pesatu; lakini wakati mwingine anapokea hata kile ambacho sio lengo lake i.e. anapokea pia maambukizi.
Hiyo point ni irrelevant kwenye hoja yangu kwamba watu wengine wanafanya sex si kwa sababu wanataka raha ya sex au watoto.

Wengine wanafanya sex kwa kutaka pesa.

Sasa kama wanapata magonjwa, wanapata shahawa, wanapata mkojo, that is irrelevant to my point.

Point yangu ni kuwa wanafanya sex kupata hela.

Logical non sequitur fallacy.

Umeweka point ambayo haiongezei wala kuipunguzia nguvu hoja yangu.

Point ambayo inqjaza maneno tu, maneno ambayo ni irrelevant. Hayana maana yoyote kwenye argument yangu.

Ni kama ungesema wanaona chupi nyekundu pia.

So what?

Irrelevant point.
 
Napata shida kukubaliana na ww. 1. Mbona mdomo unasaidia sana kupumua kama njia mbadala esp. Pale inapotokea pua zimeziba?
2. Dhumuni la matiti haliwezi kuwa ni pamoja na kuongeza uzuri wa umbile la mwanamke? Ninawaona wanawake wengi hususan rika la kati wanapambania sana wawe na matiti "saa sita"?
Mdomo kupumua? Nimejaribu hapa nimeishia kucheka. Unaweza kupumulia mdomo kwa siku ngapi mkuu?

Matiti kuwekwa yaonekane vizuri na wadada means hayajatumika bali yamehifadhiwa tu vizuri. Ni kama unavyopiga mswaki kinywani ili kiwe safi
 
Hiyo point ni irrelevant kwenye hoja yangu kwamba watu wengine wanafanya sex si kwa sababu wanataka raha ya sex au watoto.

Wengine wanafanya sex kwa kutaka pesa.

Sasa kama wanapata magonjwa, wanapata shahawa, wanapata mkojo, that is irrelevant to my point.

Point yangu ni kuwa wanafanya sex kupata hela.

Logical non sequitur fallacy.

Umeweka point ambayo haiongezei wala kuipunguzia nguvu hoja yangu.

Point ambayo inqjaza maneno tu, maneno ambayo ni irrelevant. Hayana maana yoyote kwenye argument yangu.

Ni kama ungesema wanaona chupi nyekundu pia.

So what?

Irrelevant point.
Ni kweli. Wengine wanafanya sex kwa kupata pesa. Je, Wanaishia hapo pa kupata pesa au wanapata na kitu kingine?
 
Kwani wapi nimesema wanaishia hapo?

Mbona unaweka hoja ambayo mimi sijaizungumzia?

Ukitaka hoja ya "wanaishia hapo?" hiyo haina mwisho.

Wengine wanapata zawadi ya vitabu, wengine wanapata safari za Ulaya, wengine wanapigwa risasi, wengine wanaunguzwa moto. Utaishia wapi katika msururu wa list hii isiyo na mwisho?

Na kwa nini hii list iwe muhimu kwangu wakati mimi lengo langu ni kuonesha watu wengine wanafanya sex ili kupata hela, si kwa sababu wanataka raha au mtoto?
 
Mdomo kupumua? Nimejaribu hapa nimeishia kucheka. Unaweza kupumulia mdomo kwa siku ngapi mkuu?

Matiti kuwekwa yaonekane vizuri na wadada means hayajatumika bali yamehifadhiwa tu vizuri. Ni kama unavyopiga mswaki kinywani ili kiwe safi
Mhhh! Labda ww hujapata kuugua mafua. Zipo nyakati Unatumia mdomo kupumulia e.g. Umekimbia kasi na Unahema. Umepata mafua na pua zimeziba- unatumia mdomo kupumua.Au labda ulielewaje hoja ya kupumua kwa mdomo? Maybe kiswahili cha kimaasai kinaleta shida. Hata kama ni kwa dk. chache, lakini si umetumia mdomo?
Kukuza matiti ni kuyahifadhi? Kuhifadhi naona wanatumia kitu vazi kinaitwa sidiria. Lakini kutumia madawa ili matiti yasimame "dede" au yaongezeke ukubwa wake sio kuyahifadhi.
 
Kwani wapi nimesema wanaishia hapo?

Mbona unaweka hoja ambayo mimi sijaizungumzia?

Ukitaka hoja ya "wanaishia hapo?" hiyo haina mwisho.

Wengine wanapata zawadi ya vitabu, wengine wanapata safari za Ulaya, wengine wanapigwa risasi, wengine wanaunguzwa moto. Utaishia wapi katika msururu wa list hii isiyo na mwisho?

Na kwa nini hii list iwe muhimu kwangu wakati mimi lengo langu ni kuonesha watu wengine wanafanya sex ili kupata hela, si kwa sababu wanataka raha au mtoto?
Sasa mbona kwenye hiyo list isiyo na mwisho uliyotoa mimi nilitaja kitu kimojawapo - magonjwa? BTW nimeweka hoja ambayo ww hujaizungumzia na wala hujasema wanaishia hapo. Mjadala utaendeleaje kama inakuwa so "restricted" kuweka "addendum"
 
Mhhh! Labda ww hujapata kuugua mafua. Zipo nyakati Unatumia mdomo kupumulia e.g. Umekimbia kasi na Unahema. Umepata mafua na pua zimeziba- unatumia mdomo kupumua.Au labda ulielewaje hoja ya kupumua kwa mdomo? Maybe kiswahili cha kimaasai kinaleta shida. Hata kama ni kwa dk. chache, lakini si umetumia mdomo?
Kukuza matiti ni kuyahifadhi? Kuhifadhi naona wanatumia kitu vazi kinaitwa sidiria. Lakini kutumia madawa ili matiti yasimame "dede" au yaongezeke ukubwa wake sio kuyahifadhi.
Suala la mdomo, kiungo kimoja kikifanya kazi ya kiungo kingine hatuwez kusema ni kazi yake, kwa mfano ukipaliwa na chakula punje za wali zikatokea puani utaniambia kazi ya pua ni kutoa chakula au kucheua?

Suala la matiti, wadada kukuza matiti huwez kusema ni kazi ya matiti. Mfano mtu akitumia madawa kukuza uume bado kazi yake itabaki ile ile kukojoa na sex
 
Hoja ya matiti nilisema ni katika "kuongeza uzuri"
Hoja ya mdomo, kama unavyosema mwenyewe; ni kazi ya dharura sio kazi yake mahsusi. Lakini kazi hiyo inafanyika.
 
Kuongeza uzur siyo kazi mkuu, kila kitu kwenye mwili basi kinaongeza uzuri. Kazi/madhumuni ni zile ambazo kisipokuwepo basi hakuna kitakachoendelea, mfano usipokuwa na pua huwezi kunusa hiyo ni kazi, lakin mtu akitoboa pua huwez kusema kazi ya pua ni kuongeza uzuri coz kuna wengine pua ikitobolewa hatuoni huo uzuri ulioongezeka. Kazi ni za lazima ila hayo ya uzuri itategemeana na mitazamo ya watu. Mwingne ataona kizur mwingne ataona kaharibu tu
 
Hoja ya mdomo, kwahiyo gari likigonga mtu bahati mbaya utasema kazi mojawapo ya gari ni kugonga watu?
 
Sasa mbona kwenye hiyo list isiyo na mwisho uliyotoa mimi nilitaja kitu kimojawapo - magonjwa? BTW nimeweka hoja ambayo ww hujaizungumzia na wala hujasema wanaishia hapo. Mjadala utaendeleaje kama inakuwa so "restricted" kuweka "addendum"
Hoja yako ni irrelevant, hususan kwenye kuninukuu mimi na hoja yangu.

Ni hoja ya mtu kimbelembele anayedandia maneno ya watu na kuongeza yake ambayo hayana impact.

Mimi hoja yangu ni kwamba kuna watu wanafanya sex bila kutaka raha wala watoto.

Wakipata magonjwa, hilo halikanushi hoja yangu kwamba wanafanya sex bila kutaka kupata raha wala watoto.

Na kwa vile hawafanyi sex ili wapate magonjwa, hilo linatokea tu kama by the way, hoja yako ni irrelevant kwenye hii mada.

Unaongeza kelele tu bila kuchangia point yenye mantiki yoyote.

Ila inawezekana huna uwezo wa kuelewa hili jambo.
 
Back
Top Bottom