Kabla sijachangia naomba kuuliza maswali yafuatayo
1. Hii system mpya ya elimu itakuwa Tanzania tu au kuna nchi nyingine duniani system yao inafanana na hii?
Wamegundua mapungufu gani katka system ya sasa?
Wadau wakuu wa elimu nchini wamehusishwa katika mabadiliko haya?