madiliko ya elimu ya msingi na secondary

madiliko ya elimu ya msingi na secondary

wesele

Member
Joined
May 22, 2013
Posts
31
Reaction score
3
Sasa elimu ya msingi na sekondary itaitwa elimu ya msingi ,pia wanafunzi watasoma miaka kumi badala ya kumi na moja .
 
Kabla sijachangia naomba kuuliza maswali yafuatayo
1. Hii system mpya ya elimu itakuwa Tanzania tu au kuna nchi nyingine duniani system yao inafanana na hii?
Wamegundua mapungufu gani katka system ya sasa?
Wadau wakuu wa elimu nchini wamehusishwa katika mabadiliko haya?
 
Back
Top Bottom