Hahaaa mzee bei ya ton ni kama mil 10 sio lakiMkuu hizo zinaitwa stonehenge bei tani moja laki
Mzee, kuna quatz zinafanana sana na tanzanite rangi ya zambarau na blu, ukilitewa ukakurupuka unaziwa mbuzi kwenye gunia...Duuu dadeeeki yaani nimejikuta nachekapeke yangu yaani huyo mkuu ushimen kaenda mbalibsana tena kavuka mataa cjui kawaza nn!!mkuu hayo ni masnook yaani ni kama tanzanite ila ile ilokosa rangi amabaya ilizidiwa na kemikali za miamba hazina soko kiviiile hadi ziwe nyingi!!
Na huo nu ujinga haswaaa= Silaha
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
nu=niNa huo nu ujinga haswaaa
Alibaba ndio wapiHays mawe ndo yanatumika kutengenezea Crystals (oscillators) za SAA nyingi kwa sasa na clock circuits za simu.computers etc. Angalia SAA iwe ya mkononi ama ya ukutani,....ukiona neno QUARTZ'S jua ndani yake kipo kipisi cha jiwe la kwatz linanosababisha saa iesabu sekunde.
Soko lake ni kwa tani.na soko lake kubwa ni China kwenye viwanda vingi vya electronics.ukiingia alibaba utapata buyers wengi tu
ukiyaona yamechongoka katika pembe mbalimbali ni kama vipande tofautiii HALAFU vimeungana kwa pamoja nahitaji kujua ni AINA gani ya madini na thamani yake katika soko la dunia [/QUOTE
Chimba na upate makubwa kuanzi kilo 1 kwenda juu nitafute ninalo soko 0624777112
mkuu salama?Alibaba ndio wapi