Madini aina gani haya wataalaam nisaidieni

Hio mijiwe ipo kibao maeneo ya morogoro, haina ishu lasivyo isingekuwepo pale mpaka sasa!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Hakuna madini hapo
 
Duuu dadeeeki yaani nimejikuta nachekapeke yangu yaani huyo mkuu ushimen kaenda mbalibsana tena kavuka mataa cjui kawaza nn!!mkuu hayo ni masnook yaani ni kama tanzanite ila ile ilokosa rangi amabaya ilizidiwa na kemikali za miamba hazina soko kiviiile hadi ziwe nyingi!!
 
Mzee, kuna quatz zinafanana sana na tanzanite rangi ya zambarau na blu, ukilitewa ukakurupuka unaziwa mbuzi kwenye gunia...
 
Hays mawe ndo yanatumika kutengenezea Crystals (oscillators) za SAA nyingi kwa sasa na clock circuits za simu.computers etc. Angalia SAA iwe ya mkononi ama ya ukutani,....ukiona neno QUARTZ'S jua ndani yake kipo kipisi cha jiwe la kwatz linanosababisha saa iesabu sekunde.
Soko lake ni kwa tani.na soko lake kubwa ni China kwenye viwanda vingi vya electronics.ukiingia alibaba utapata buyers wengi tu
 
Alibaba ndio wapi
 
Chimba
58df21711a51c2f8a56eab07180cd9dc.jpg
ukiyaona yamechongoka katika pembe mbalimbali ni kama vipande tofautiii HALAFU vimeungana kwa pamoja nahitaji kujua ni AINA gani ya madini na thamani yake katika soko la dunia
5a5e2dfcecd91a06b75e6969ddf4c993.jpg
[/QUOTE

Chimba na upate makubwa kuanzi kilo 1 kwenda juu nitafute ninalo soko 0624777112
 
Back
Top Bottom