Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Wakuu pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, nimerudi tena hapa jukwani Kwa utafuti niliofanya Leo ni kwamba haya ni madini ya Garnet nyekundu na nimedhibitisha hilo Kwa kulinganisha mara kadhaa sehemu tofaut, nimekuja kwenu Kwa ombi moja tu kwa mtu yeyote anaelijua soko aniambie au Kama yeye ni mnunuzi aseme ni bei gani Mimi nitamkusanyia mzigo atakuja aukague au nimtumie sample popote alipo kisha akijiridhisha aniambie anataka mzigo kiasi gani nitachimba mwenyewe Kwa gharama zangu.
Baada ya hapo mnunuzi utakuja utakagua mzigo unaknikabidhi changu unasepa na mzigo wako