Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
NakataaaMakaa ya maweπ€£
Mkuu hizo ni kokoto zilizobanduka kwenye lami
Hapana mkuuMkuu hizo ni kokoto zilizobanduka kwenye lami
Kama unajua kwanini umeuliza sasaNakataaa
Ndio mkuu natumia simu nzuriPicha ina mb nyingi hvo mkuu
Watalaam wakija watasemaKama unajua kwanini umeuliza sasa
πππMkuu hizo ni kokoto zilizobanduka kwenye lami
Yamijichonga Kama mtu alikuwa anachonga hivi
Hapo umeanza kunitia moyo mkuuGarnet
Mimi sikutii moyo wowote bali nimejibu swali lako.Hapo umeanza kunitia moyo mkuu
Naona unajipakulia minyama mkuuNdio mkuu natumia simu nzuri