Madini gani hutumika kutengeza vifaa hivi?

Madini gani hutumika kutengeza vifaa hivi?

FOX21

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
493
Reaction score
916
Naomba twenda direct kwenye point.
Ningependa kufahamu aina ya madini yanayo tunika katika vifaa vya electronic hasa saket za simu, tv,remote control, computers...nk.


👇👇👇
IMG_20220331_162330_4.jpg
IMG_20220331_162419_5.jpg
 
Na nilikuwa najiuliza kwann ni ngumu Sana kuungua au kuyeyuka🤨🤨
 
Mkuu nashukuru kwa hilo jibu [emoji115][emoji115].
Pia ndio nimegunduwa ni kwa nin zilizo tumika kwa nn zina nunuliwa kwa mizani.
I think wanaenda kuchakata madini hayo
Kama zipo tuambizane ! Nanunua kwa hela nzuri kabisa. Madini yote hayo ndo yanayochakatwa.
 
"Halafu yote yanatoka Africa"

Hii inaumiza sana

Mkuu Aluminium inalimwa[emoji38] sana nchi gani kwa hapa africa?!
Maana waturuki wanatufanya vibaya sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hahaha... Aluminium inalimwa

Aise kweli, kuna wakati nlifikaga kivu province kwenye machimbo ya coltan (columbalite tantalite)
Watu wanapiga kazi wanazalisha bidhaa ambayo ndy inatumika kwa kiwango kikubwa duniani kwenye utengenezajj wa vifaa vya electronics
Sema huko umaskini umetamalaki

Ova
 
Hahaha... Aluminium inalimwa

Aise kweli, kuna wakati nlifikaga kivu province kwenye machimbo ya coltan (columbalite tantalite)
Watu wanapiga kazi wanazalisha bidhaa ambayo ndy inatumika kwa kiwango kikubwa duniani kwenye utengenezajj wa vifaa vya electronics
Sema huko umaskini umetamalaki

Ova
Kuna documentary moja inaitwa blood in mobile..daah jamaa kaeleza na kaonyesha harakati nyingi sana za coltan jinsi watu wanavyoumia na kufa kwenye machimbo ya madini hayo huku wahuni wakiendelea kuneemeka na kutajirika.

#MaendeleoHayanaChama
 
iyo kijani (substrate nzima) ni silicon

izo brown ni Copper, baadhi chache sana ni Gold

izo nyeupe nyeupe kwenye pcb ni Tin

nyeupe kwenye ribbon kule ni silk(compound)
Niende duka gani ili kupata hivyo fifaa ambavyo havijatemgenezwa yani nisuke mwenyewe kama hivyo
 
Back
Top Bottom