Madini gani hutumika kutengeza vifaa hivi?

Madini gani hutumika kutengeza vifaa hivi?

Jibu lako limekata kiu yangu
kinachofanyika hasa siyo kama unasuka mwenyewe (izo mashine siyo kitoto)
ila unatengeneza blueprint/design kwa kutumia hii au hii
then design files unawatupia hao jamaa, wanakufyatulia
 
Kuna documentary moja inaitwa blood in mobile..daah jamaa kaeleza na kaonyesha harakati nyingi sana za coltan jinsi watu wanavyoumia na kufa kwenye machimbo ya madini hayo huku wahuni wakiendelea kuneemeka na kutajirika.

#MaendeleoHayanaChama
Yah ile doc ina ukweli
Mazingira ya kazi huko siyo
Kuna umafia mwingi pia

Ova
 
Back
Top Bottom