kinachofanyika hasa siyo kama unasuka mwenyewe (izo mashine siyo kitoto)
ila unatengeneza blueprint/design kwa kutumia hii au hii
then design files unawatupia hao jamaa, wanakufyatulia
Kuna documentary moja inaitwa blood in mobile..daah jamaa kaeleza na kaonyesha harakati nyingi sana za coltan jinsi watu wanavyoumia na kufa kwenye machimbo ya madini hayo huku wahuni wakiendelea kuneemeka na kutajirika.