Madini haya yanaweza kuwa na thamani ya bei gani?

Madini haya yanaweza kuwa na thamani ya bei gani?

Joined
May 29, 2022
Posts
51
Reaction score
100
Wakuu haya ni madini haya au ni mawe tu?

Kwa atakaye yahitaji tuwasiliane

IMG_20220530_161536-01.jpg
 
Hayo wakikusaidia sana labda wakununulie trip moja ya hayo mawe kwa buku 3
 
Hahahahaaaa ety Nishakuwa bilionea

Maaake hapo kwanza mcheke
Sikia sugulia miguuni Ayo hakuna kitu
 
Back
Top Bottom