Mazuri yake yako hiviView attachment 2244593
Kwahiyo yeye kaleta mabaya yake au unamaanisha nini wewe mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazuri yake yako hiviView attachment 2244593
kapime akili kijanaWakuu nishakuwa bilionea View attachment 2244512
@Mshana Jr nakushukuru sana kwa kuja kwenye uzi wangu na kunipa maelezo ambayo nilikuwa siyatambui hapo awali [emoji120]Quartz stones ziko za aina mbalimbali
Kuna hizo za round ziko kama tufe au mayai
Kuna pensil quartz zimechongoka kama penseli
Kuna glass quartz ni kama kioo kabisa
Halafu kuna Quartz zenye mdudu ndani ama jani na ni very transparent.. Hizi thamani yake iko juu
Kuna quartz za rangi pia Lakini maarufu ni
Black
Pink
Blue
Matumizi yake makubwa ni urembo wa majumbani na pia urembo wa mwilini kwenye pete, mikufu bangili vishaufu, vikuku nk
Kwa tamaduni za watu wa China jiwe la quartz ni alama ya nguvu, uwezo,bahati maisha na ulinzi ndio maana hata rais wao Mao Zhe Tong alizikwa kwenye jeneza la quatz ili
Asioze na akioza asinuke na akinuka anukie quartz
Karibu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]@Mshana Jr nakushukuru sana kwa kuja kwenye uzi wangu na kunipa maelezo ambayo nilikuwa siyatambui hapo awali [emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Haya sio gem stone(vito) vya thamani haya ni mineral stone yanauzwa kwa tani
Mzigo huo Mshana Jr, twenzetu sokoni mkuuView attachment 2288178Hii ni grade 3.. Haina thamani lakini ndio indicator kwamba chini yako mazuriView attachment 2244604
Wazee wa mawe, leteni mrejesho
Kmmke daaah ila kweli thamanj yake ni hiyo yana tumika kama mapambo kwenye gardenUkijaza ndoo ya lita 20 huwa bei inaanzia 1000 mpaka 2000
N madini yanayotumika kupamba kwenye garden ....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]daah mtamuua jamaaMaeneo yenye uhaba wa miamba ya kugonga kokoto,hayo ya mtoni ndiyo hutumika na haivuki buku kwa karai.
Haya sio gem stone(vito) vya thamani haya ni mineral stone yanauzwa kwa tani