Kijana Mpererez
Member
- May 29, 2022
- 51
- 100
Kwa jiwe moja?1200 elfu moja mia mbili
Thamani yake vp?Sio madini ni mawe ya mtoni hayo,
Hayana thamani yeyeto.Thamani yake vp?
Haya sio gem stone(vito) vya thamani haya ni mineral stone yanauzwa kwa tani
Quartz stone. Lakini hizi ni chafu hazina mng'aoWakuu nishakuwa bilionea View attachment 2244512
Kwa jiwe moja?