Madini haya yanaweza kuwa na thamani ya bei gani?

Nilicheza nayo utotoni sana tena hayo ni mepesi sana kuna meupe na Meusi mawe furaha hivi
 
Hii ni grade 2 .. Inaitwa cloudy or milky quartz
 
Hayo ndio yale meupe ila kama madini vile nenda ukapimishe ujue nini brooo
 
Quartz stones ziko za aina mbalimbali
Kuna hizo za round ziko kama tufe au mayai
Kuna pensil quartz zimechongoka kama penseli
Kuna glass quartz ni kama kioo kabisa
Halafu kuna Quartz zenye mdudu ndani ama jani na ni very transparent.. Hizi thamani yake iko juu

Kuna quartz za rangi pia Lakini maarufu ni
Black
Pink
Blue
Matumizi yake makubwa ni urembo wa majumbani na pia urembo wa mwilini kwenye pete, mikufu bangili vishaufu, vikuku nk
Kwa tamaduni za watu wa China jiwe la quartz ni alama ya nguvu, uwezo,bahati maisha na ulinzi ndio maana hata rais wao Mao Zhe Tong alizikwa kwenye jeneza la quatz ili
Asioze na akioza asinuke na akinuka anukie quartz
 
[emoji23][emoji23]vijana wa hili taifa tumechoka sana
 
@Mshana Jr nakushukuru sana kwa kuja kwenye uzi wangu na kunipa maelezo ambayo nilikuwa siyatambui hapo awali [emoji120]
 
Maeneo yenye uhaba wa miamba ya kugonga kokoto,hayo ya mtoni ndiyo hutumika na haivuki buku kwa karai.
 
Ukijaza ndoo ya lita 20 huwa bei inaanzia 1000 mpaka 2000
N madini yanayotumika kupamba kwenye garden ....
Kmmke daaah ila kweli thamanj yake ni hiyo yana tumika kama mapambo kwenye garden
 
Maeneo yenye uhaba wa miamba ya kugonga kokoto,hayo ya mtoni ndiyo hutumika na haivuki buku kwa karai.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]daah mtamuua jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…