C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 Aug 21, 2014 #1 Mungu mwema tuepushe hayo madini yaishie Biharamulo yasiende wilaya zingine maana madini ni balaa na si baraka. Mifano tunayo hai kutoka katika mikoa yenye madini wanavyodhulumiwa na kuteseka. Mungu epusha yasiwepo wilaya zingine
Mungu mwema tuepushe hayo madini yaishie Biharamulo yasiende wilaya zingine maana madini ni balaa na si baraka. Mifano tunayo hai kutoka katika mikoa yenye madini wanavyodhulumiwa na kuteseka. Mungu epusha yasiwepo wilaya zingine
mwanawao JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 3,192 Reaction score 5,743 Aug 25, 2014 #2 Acha woga weee... Watu wanayatamani wee unaya laani. Jaribu kuwa na mtazamo chanya kwenye maisha. Kila kitu kina mazuri na mabaya yake. Madini ni baraka na siyo laana
Acha woga weee... Watu wanayatamani wee unaya laani. Jaribu kuwa na mtazamo chanya kwenye maisha. Kila kitu kina mazuri na mabaya yake. Madini ni baraka na siyo laana
S Sacrifice Member Joined Feb 23, 2014 Posts 70 Reaction score 13 Aug 28, 2014 #3 Ukikua utajua, panuka ubongo...