Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Katika kipindi cha miaka 60 ya utawala wa CCM (zamani TANU na ASP) karibu rasimali zote muhimu zenye kubeba urithi wa vizazi vya sasa na vizazi vinavyokuja vya Watanganyika zimeuzwa kilaghai kwa wageni.
Madini yaliuzwa kwa Mzungu, Mbuga zikauzwa kwa Muarabu, Gesi ikauzwa kwa Mchina na sasa bandari zote za mwambao wa Bahari ya Hindi zimeuzwa kwa Muarabu. Hii ni laana, tena ni laana kubwa iliyofanywa na CCM.