Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
MkuuKatika Kipindi cha miaka 60 ya utawala wa CCM (zamani TANU na ASP) karibu rasimali zote muhimu zenye kubeba urithi wa vizazi vya sasa na vizazi vinavyokuja vya watanganyika zimeuzwa kilaghai kwa wageni.
Madini yaliuzwa kwa mzungu, Mbuga zikauzwa kwa muarabu, Gesi ikauzwa kwa mchina na sasa bandari zote za mwambao wa bahari ya Hindi zimeuzwa kwa muarabu. Hii ni laana, tena ni laana kubwa iliyofanywa na CCM.
Huko tuendako, watoto wetu na wajukuu zetu watahakikisha makaburi ya viongozi wa CCM yanageuzwa kuwa vyoo vya wazi vya umma vya watu kwenda kujisaidia haja kubwa na ndogo.
Nipo pale nimetulia.
Nenda Msimbati waulize gesi yao iko wapi?Embu tupe ushahidi wa tulivyouza
Vyovyote vile, wewe jua tu CCM ni laana. Ukiamua kuikumbatia CCM maana yake umelaaniwa.Mkuu
KWA katiba Hii hata chadema na upinzani ungeshika dola wangefanya kama CCM tu!!
Kulewa madaraka lingekua dhahiri KABISA!!
Huwezi ukampa living organism uhuru kama huo wa maamuzi top hivyo ukawa salama bila kujali anatoka chama gani!!
Katiba mpya na MFUMO mpya!!
Gesi yao kivipi?Nenda Msimbati waulize gesi yao iko wapi?
Nenda Ngorongoro kaulize wamasai, kwa sasa wanaishi wapi?
Njoo Kahama, Mererani, Katoro, Mara uulize madini yao yanakwenda wapi?
.CCM ni laana.
CCM niKatika Kipindi cha miaka 60 ya utawala wa CCM (zamani TANU na ASP) karibu rasimali zote muhimu zenye kubeba urithi wa vizazi vya sasa na vizazi vinavyokuja vya watanganyika zimeuzwa kilaghai kwa wageni.