Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
MADINI YA BILIONI 17.76 YALIKAMATWA YAKIWA YANATOROSHWA
Serikali imeendelea kupambana na kudhibiti vitendo vya utoroshaji wa madini nchini unaofanywa na baadhi ya wachimbaji na wafanyabiashara wa madini wasio waaminifu.
Katika kipindi cha kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025 Wizara ya madini kwa kushirikiana na mamlaka nyingine za Serikali imefanikiwa kukamata madini ya aina mbalimbali yenye thamani ya shilingi bilioni 17.76
Madini hayo yaliyokamatwa yalitaifishwa na watuhumiwa 75 walifikishwa kwenye vyombo vya Sheria.
Huo ni Utekelezaji wa bajeti ya wizara ya madini kwa mwaka 2024/25.