Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Wewe mwenyewe tu hakuna anaekushikia bundukI uache kuongelea swala fulani,na tatizo sio kuongelea just take an action,Na wiki hii tutashuhudia mengi sanaaaa lengo tu tusahau unyama na ushenzi ila safari hii kazi wanayo msione ajabu zikavuja picha za uchi za mtu hapa ili mada ihame ila yana mwisho haya ,
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa.
Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio hilo.
"Nchi yetu inazo sekta kadhaa za uzalishaji ambazo mapato yake ndiyo msingi wa maendeleo ya uchumi wetu ikiwemo sekta ya madini. Sasa basi, tunapokuwa na watu wachache ambao wanajihusisha na shughuli hizi za utoroshaji wa madini na hivyo kuikosesha Serikali mapato hatuwezi kuwavumilia."
"Kilo hizo 15.78 kwa bei ya leo zina thamani ya takribani bilioni 3.4, fedha ambazo kwa sasa zote watoroshaji hawa wanakwenda kuzipoteza. Serikali tunakwenda kufuta leseni zao wakitiwa hatiani na mahakama na kuwaweka kwenye orodha ambayo hawataruhusiwa kumiliki Leseni ya kufanya biashara yeyote katika mnyororo wa thamani wa madini nchini Tanzania," alibainisha Mavunde.
Kwa mujibu wa mahojiano ya awali wakati uchunguzi unaendelea, watuhumiwa wamesema madini hayo ya dhahabu walikuwa wanasafirisha kutoka bandari ya Dar es Salaam kuelekea Visiwani Zanzibar.
"Uchunguzi na mahojiano na watuhumiwa yanaendelea, na pindi kazi hii ikikamilika tutawapandisha mahakamani kujibu mashtaka," alisema Mavunde.
Soma Pia: Mbeya: Mbaroni wakitorosha Madini yenye Thamani ya Shilingi 1.5 Bln. Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni zao ndani ya nchi
Wakati huo huo Mavunde ameipongeza kazi inayofanywa na Kikosi kazi cha kuzuia utoroshaji wa madini kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama na kutoa rai kwa wafanyabiashara nchini kuacha tabia ya utoroshaji kwani inarudisha nyuma juhudi za serikali
Sasa kama uchunguzi haujakamilika kulikuwa na haja Gani kuliongelea
Mbona hamuwataji? Acheni maigizoWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa.
Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio hilo.
"Nchi yetu inazo sekta kadhaa za uzalishaji ambazo mapato yake ndiyo msingi wa maendeleo ya uchumi wetu ikiwemo sekta ya madini. Sasa basi, tunapokuwa na watu wachache ambao wanajihusisha na shughuli hizi za utoroshaji wa madini na hivyo kuikosesha Serikali mapato hatuwezi kuwavumilia."
"Kilo hizo 15.78 kwa bei ya leo zina thamani ya takribani bilioni 3.4, fedha ambazo kwa sasa zote watoroshaji hawa wanakwenda kuzipoteza. Serikali tunakwenda kufuta leseni zao wakitiwa hatiani na mahakama na kuwaweka kwenye orodha ambayo hawataruhusiwa kumiliki Leseni ya kufanya biashara yeyote katika mnyororo wa thamani wa madini nchini Tanzania," alibainisha Mavunde.
Kwa mujibu wa mahojiano ya awali wakati uchunguzi unaendelea, watuhumiwa wamesema madini hayo ya dhahabu walikuwa wanasafirisha kutoka bandari ya Dar es Salaam kuelekea Visiwani Zanzibar.
"Uchunguzi na mahojiano na watuhumiwa yanaendelea, na pindi kazi hii ikikamilika tutawapandisha mahakamani kujibu mashtaka," alisema Mavunde.
Soma Pia: Mbeya: Mbaroni wakitorosha Madini yenye Thamani ya Shilingi 1.5 Bln. Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni zao ndani ya nchi
Wakati huo huo Mavunde ameipongeza kazi inayofanywa na Kikosi kazi cha kuzuia utoroshaji wa madini kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama na kutoa rai kwa wafanyabiashara nchini kuacha tabia ya utoroshaji kwani inarudisha nyuma juhudi za serikali
Tukio hili limenikumbusha tukio la miaka mingi kidogo la madini ya dhahabu ya uzito wa tani 3.7 yaliyotelekezwa kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)jijini Nairobi nchini Kenya.Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa.
Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio hilo.
"Nchi yetu inazo sekta kadhaa za uzalishaji ambazo mapato yake ndiyo msingi wa maendeleo ya uchumi wetu ikiwemo sekta ya madini. Sasa basi, tunapokuwa na watu wachache ambao wanajihusisha na shughuli hizi za utoroshaji wa madini na hivyo kuikosesha Serikali mapato hatuwezi kuwavumilia."
"Kilo hizo 15.78 kwa bei ya leo zina thamani ya takribani bilioni 3.4, fedha ambazo kwa sasa zote watoroshaji hawa wanakwenda kuzipoteza. Serikali tunakwenda kufuta leseni zao wakitiwa hatiani na mahakama na kuwaweka kwenye orodha ambayo hawataruhusiwa kumiliki Leseni ya kufanya biashara yeyote katika mnyororo wa thamani wa madini nchini Tanzania," alibainisha Mavunde.
Kwa mujibu wa mahojiano ya awali wakati uchunguzi unaendelea, watuhumiwa wamesema madini hayo ya dhahabu walikuwa wanasafirisha kutoka Bandari ya Boti Dar kwenda Zanzibar
"Uchunguzi na mahojiano na watuhumiwa yanaendelea, na pindi kazi hii ikikamilika tutawapandisha mahakamani kujibu mashtaka," alisema Mavunde.
Soma Pia: Mbeya: Mbaroni wakitorosha Madini yenye Thamani ya Shilingi 1.5 Bln. Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni zao ndani ya nchi
Wakati huo huo Mavunde ameipongeza kazi inayofanywa na Kikosi kazi cha kuzuia utoroshaji wa madini kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama na kutoa rai kwa wafanyabiashara nchini kuacha tabia ya utoroshaji kwani inarudisha nyuma juhudi za serikali
Siyo rahisi itokee tu from no where mtu abebe dhahabu kilo 15.78 aelekee kupanda Azam Marine. Vitu vingine tuwe tuanelezana ukweli tu. Tatizo la biashara haram ndo hilo task force watakunyua alafu mwisho wa siku wanakuuza ili wapande vyeo.Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa.
Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio hilo.
"Nchi yetu inazo sekta kadhaa za uzalishaji ambazo mapato yake ndiyo msingi wa maendeleo ya uchumi wetu ikiwemo sekta ya madini. Sasa basi, tunapokuwa na watu wachache ambao wanajihusisha na shughuli hizi za utoroshaji wa madini na hivyo kuikosesha Serikali mapato hatuwezi kuwavumilia."
"Kilo hizo 15.78 kwa bei ya leo zina thamani ya takribani bilioni 3.4, fedha ambazo kwa sasa zote watoroshaji hawa wanakwenda kuzipoteza. Serikali tunakwenda kufuta leseni zao wakitiwa hatiani na mahakama na kuwaweka kwenye orodha ambayo hawataruhusiwa kumiliki Leseni ya kufanya biashara yeyote katika mnyororo wa thamani wa madini nchini Tanzania," alibainisha Mavunde.
Kwa mujibu wa mahojiano ya awali wakati uchunguzi unaendelea, watuhumiwa wamesema madini hayo ya dhahabu walikuwa wanasafirisha kutoka Bandari ya Boti Dar kwenda Zanzibar
"Uchunguzi na mahojiano na watuhumiwa yanaendelea, na pindi kazi hii ikikamilika tutawapandisha mahakamani kujibu mashtaka," alisema Mavunde.
Soma Pia: Mbeya: Mbaroni wakitorosha Madini yenye Thamani ya Shilingi 1.5 Bln. Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni zao ndani ya nchi
Wakati huo huo Mavunde ameipongeza kazi inayofanywa na Kikosi kazi cha kuzuia utoroshaji wa madini kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama na kutoa rai kwa wafanyabiashara nchini kuacha tabia ya utoroshaji kwani inarudisha nyuma juhudi za serikali
Hii ilifaa kuwa thead kabisa b… Kuna mambo kadhaa hapo nimetamani kuyafahamu kiundani. Unanijua napenda details, please ukipata muda.Tukio hili limenikumbusha tukio la miaka mingi kidogo la madini ya dhahabu ya uzito wa tani 3.7 yaliyotelekezwa kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)jijini Nairobi nchini Kenya.
Kutelekezwa kwa dhahabu hiyo kulitokana na kuanza uchunguzi wa ghafla wa madini yaliyoibwa DRC kuingizwa kisiri nchini Kenya, na kutiwa sokoni na kundi la waasi wa DRC waliopo Kenya.
Awali, dhahabu hiyo ilionekana kuwa ya Mkenya, Paul Kobia Kabebria, lakini akijipa jina bandia la Paul Ilunga Ngoei raia wa DRC, aliyemsaidia Pedro Del Campo, raia wa Uswiss na mume wa Nyasha Mujuru.
Nyasha Mujuru ni binti wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Zimbabwe, na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo, Solomon Mujuru, waliokuwa na kampuni ya uuzaji madini Ulaya, ya River Ranch Mines.
Lakini, kampuni hiyo ilipigwa marufuku kuuza madini Ulaya ilipobainika kuwa ikinunua madini ya waasi wa DRC, ikiwezesha ununuzi silaha. Ikumbukwe kuwa UN imepiga marufuku ununuzi wa madini ya waasi.
Familia ya Mujuru kwenye kampuni hiyo walikuwa na mshirika wa siri ambaye jina lake halitajwi kokote, lakini alikuwa ndiye big boss, kwa kisa chao kilivyo, nitamtaja baadaye.
Na baada ya River Ranch Mines kuwa kwenye marufuku hiyo, ndipo mume wa Nyasha Mujuru, Pedro Del Campo alipopewa jukumu la kuanzisha nchini mwao kampuni ya ununuzi wa madini ya Berline Equities Corporate.
Hivyo, kampuni hii ikawa ikinunua madini nchini Kenya wakimtumia tapeli, Paul Kobia, akitumia huo utamblisho bandia wa Paul Ilunga Ngoei na kujipa uraia wa DRC.
Ila baada ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya (KRA), chini ya Kamishna wa wakati huo, Joseph Cheptarus, Kugundua madini yao ni sehemu ya madini ya waasi yaliyotoroshwa DRC, wakaweka mtego.
Mtego huo ulishtukiwa na Campo, naye akatelekeza dhahabu hiyo JKIA naye kuondoka Kenya kinyemela kwa kupitia Tanzania.
Lakini, hasara hiyo ya kutelekezwa kwa madini yao ilishindwa kupokewa na big boss wa kampuni ya akina Mujuru, na ikagharimu vifo vya watu kadhaa, akiwemo Cheptarus, Solomon Mujuru na zaidi, Joyce kupoteza umakamu wa Rais.
Ova
Ni kweli b..., tena hii story ni ndefu mno nimejitahidi kuifupisha, lakini bado iko nyingi sijaigusa. Kifo cha Cheptarus kilikuwa cha kutumiwa majambazi nyumbani kwake.Hii ilifaa kuwa thead kabisa b… Kuna mambo kadhaa hapo nimetamani kuyafahamu kiundani. Unanijua napenda details, please ukipata muda.
Nimeogopa! Hata kama sio hapa basi naomba ikae katika list ya mambo yetu…Ni kweli b..., tena hii story ni ndefu mno nimejitahidi kuifupisha, lakini bado iko nyingi sijaigusa. Kifo cha Cheptarus kilikuwa cha kutumiwa majambazi nyumbani kwake.
Ilikuwa ni patashika, mchongo ulikuwa umepangwa hadi akaletewa walinzi wa mchongo wa nyumbani kwake. Mletaji ni serikali ya Kenya. Solomon Mujuru aliteketezwa kwa moto akiwa shambani kwake.
Ova
Watu wanapiga kulingana na nafasi zao!
Mwijaku nahisi Mange alishavujisha ushoga wake.Mwijaku alivyo hana mshipa wa aibu wanaweza kumtuma aokoe jahazi kwa kurekodiwa akitatuliwa rinda ama akinya hadharani mnara wa saa ama askari monument.