Pearl....Inaitwa
Baharini kuna vitu vingi vya thamani
Kuna kitu kinaitwa "ambari"nayo inasemekana inatokana ndani ya samaki
Huwa anaitema na Hupatikani nchi kavu
Kg1 huuzwa $ zaidi ya 15000 iko kama kinyesi cha ngombe au nyasi zilizoshikamana
Nayo niliigumiaa
Mtu mwingine anaweza fikiri hadithi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
MajizoDah kwa kiingereza lulu inaitwaje
Mimi nilidhani ndalichako kumbe majizoMajizo
Aiseee chalii yangu niko hapa Dhaka BangladeshMtoa mada sijui anaishi Ulaya Ipi maana level yake ya uelewa wa mambo ni kiwango cha chini sana ilhali huwa anajisifu hapa kuwa anaishi dunia ya kwanza!
Kama kuna mshiriki yeyote yule wa kwaya Hiyo apeleke ujumbe tafadhali!Kuna waimbaji wa kwaya ya dini maeneo ya Mtoni Dar sijui kanisa gani, wanaweza kuwa wanayajua haya maana wameyasifia sana
Basi watu wameiongezea tu thamani bila sababu
Google utaziona picha zakeMzuqa
Tangu udogoni nasikia lulu madini yenye thamani kuliko yote. Ila hayaonekani hata picha na wala yanapochimbwa na kupatikana ukilinganisha na dhahab almas Tanzanite etc.
Kuna story za vijiweni uswahilini Wadau wanapokunywa kahawa utawasikia wanasema lulu inapatikana ndani mdomoni mwa Samaki chini kabisa baharini.
Mwanajamvi yeyote anayeyafaham haya madini ya lulu atueleeze yakoje yana rangi gani yanapatikana wapi.
Hadi kanisani tulishafundishwaga mbinguni kuna milango pavement na barabara za dhahab na lulu.
Je lulu kweli inaegzisti ama ni porojo za kusadikika. Nimegoogle kichizi holaaa.
Wadau tiririkeni