Madini ya mawe

Madini ya mawe

sara-22

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
99
Reaction score
14
Habari zenu naomba kujua bei za hizi mawe please mtalamu au yeyote anaye jua bei aniambie hasanteni
Imperial topaz ImageUploadedByJamiiForums1382008616.536785.jpg
Amethyst, and green AmethystImageUploadedByJamiiForums1382008875.358925.jpgImageUploadedByJamiiForums1382008891.018475.jpg

Green garnetImageUploadedByJamiiForums1382008982.642005.jpg

RubyImageUploadedByJamiiForums1382009065.425803.jpg
 
Ndio nataka kujua bei ya soko kwa gram begani na kati ya mawe niliotaja mawe gani inachukuliwa kwa kilo , but toa rubi na green garnet hii hazichukuliwi kwa kilo
 
chaki inbox me!!!.,
Lakini bado nataka kujua bei msada yenu
 
Last edited by a moderator:
Wenye uelewa wahii maneno wafunguke 2pate maujuzi!
 
Habari zenu naomba kujua bei za hizi mawe please mtalamu au yeyote anaye jua bei aniambie hasanteni
Imperial topaz View attachment 117091
Amethyst, and green AmethystView attachment 117102View attachment 117103

Green garnetView attachment 117104

RubyView attachment 117105

Rubi kama navo jua inaanzia kwa gram m10 mpaka m20 inategemea na mawe yenyewe
Green garnet inaanzia m1.9 kwa gram na inapanda juu lakini huwa mawe bei yake inasemwa mezani lakini nakushauri utafute mtu anauzewefu wa mawe
 
nimepata lakini sema wametoa madini ya ndani kwahiyo haifai,, na bado natafuta na kuhusu mawe ndio ninao nataka kujua bei
 
nimepata lakini sema wametoa madini ya ndani kwahiyo haifai,, na bado natafuta na kuhusu mawe ndio ninao nataka kujua bei

Mie nina kufuli la mjerumani, inanasa kiwembe kwenye tundu la funguo unanunua bei ngap?
 
ok nimeyaona! ila ujue biashara ya gemstones ni ngumu sana, kuna mambo mengi sana unatakiwa uzingatie!
 
yeah hilo kweli ndo maana mimi hua nauliza vizuri kabla kufanya chochote
 
Back
Top Bottom