Madini ya rubi

Madini ya rubi

babacareeni

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
48
Reaction score
6
Nina madini ya rubi,nauza ila sina uelewa na bei zake.msaada kwa mwenye uelewa bei na soko na yanauzwaje kwa vipimo gani. Rubi ya rwangwa
 
Nina madini ya rubi,nauza ila sina uelewa na bei zake.msaada kwa mwenye uelewa bei na soko na yanauzwaje kwa vipimo gani. Rubi ya rwangwa

inbox sample pictures please, picha zionekane vizuri kwenye mwanga wa kutosha, weka kwenye karatasi nyeupe eneo liwe na mwanga mzuri.
 
RUBI INAUZWA KW GRAM.SIFA YAKE IWE BEUTY TRANSPARENT ISIWE NA UGONJWA..IWE ROUND SHAPE HAPO UTAPIGA PESA..,swali la kizushi ulijuaje km ni ruby?
 
weka picha hapa tuone kisije kua kichupa.....!!
 
Nina madini ya rubi,nauza ila sina uelewa na bei zake.msaada kwa mwenye uelewa bei na soko na yanauzwaje kwa vipimo gani. Rubi ya rwangwa

Madin ya rodlight nayo vpi?yanauzwaje?

Biashara ya madini ni biashara huria. Unaweza kupata mteja mzuri ukauza pesa nzuri, na unaweza kumpata dalali ukaangukia pua.

Hata hivyo quality na size ndivyo vinavyo toa bei. Ukikutana na mtu kwenye mitandao akakupa bei huyo unapaswa umuangalie mara mbili.

Kwa serious business call 0684622200
 
angalia hii extract nadhani ilitolewa may 1995

Table B.1: Ruby (including pink) prices – cut stones


[TD="class: box_text, width: 62"]
[/TD]
[TD="colspan: 5"] Quality & price per carat (in US$; K=1000) [/TD]

[TD="class: box_text, width: 49"][/TD]
[TD="class: box_text, width: 61"][/TD]
[TD="class: box_text, width: 67"][/TD]
[TD="class: box_text, width: 70"][/TD]
[TD="class: box_text, width: 74"][/TD]

[TD="class: box_text, width: 136"] ORIGIN
Burma, Mogok
(certified, untreated)

[/TD]
[TD="class: box_text, width: 62"] size (ct)
< 0.49
0.5&#8211;0.99
1.0&#8211;1.99
2.0&#8211;4.99
5.0 +
[/TD]
[TD="class: box_text, width: 49"] Poor
1&#8211;25
1&#8211;60
1&#8211;400
1&#8211;900
1&#8211;1.2K
[/TD]
[TD="class: box_text, width: 61"] Fair
25&#8211;50
60&#8211;350
400&#8211;800
900&#8211;1.5K
1.5K&#8211;6.1K
[/TD]
[TD="class: box_text, width: 67"] Good
50&#8211;300
350&#8211;700
800&#8211;3.5K
4K&#8211;5.3K
6.1K&#8211;13.2K
[/TD]
[TD="class: box_text, width: 70"] Very Good
300&#8211;600
700&#8211;3K
3.5K&#8211;4.6K
5.3K&#8211;11.5K
13.2K&#8211;144K
[/TD]
[TD="class: box_text, width: 74"] Exceptional
-
3K&#8211;4K
4.6K&#8211;10K
11.5K&#8211;125K
144K&#8211;225K
[/TD]

[TD="class: box_text, width: 136"] All other sources*
Afghanistan, Jagdalek
Burma, Mogok, Mong Hsu
Kenya
Sri Lanka
Tanzania
Thailand / Cambodia
Vietnam
(all generally heat treated)
[/TD]
[TD="class: box_text, width: 62"]< 0.49
0.5&#8211;0.99
1.0&#8211;1.99
2.0&#8211;4.99
5.0 +[/TD]
[TD="class: box_text, width: 49"]1&#8211;25
1&#8211;60
1&#8211;400
1&#8211;700
1&#8211;1K[/TD]
[TD="class: box_text, width: 61"]25&#8211;50
60&#8211;350
400&#8211;650
7.5K&#8211;3K
1K&#8211;5.3K[/TD]
[TD="class: box_text, width: 67"]50&#8211;300
350&#8211;575
650&#8211;2.6K
3K&#8211;4.6K
5.3K&#8211;8K[/TD]
[TD="class: box_text, width: 70"]300&#8211;500
575&#8211;2.3K
2600&#8211;4K
4.6K&#8211;7K
8K&#8211;23K[/TD]
[TD="class: box_text, width: 74"]-
2300&#8211;3.5K
4K&#8211;6K
7K&#8211;20K
23K&#8211;100K[/TD]
* Note: Due to their lack of fluorescence and light-scattering silk inclusions, Thai/Cambodian rubies will rarely fall into the exceptional category.



kwa maelezo zaidi angalia hapa nilipotoa hii page
Ruby and Sapphire Prices
 
Nina madini ya rubi,nauza ila sina uelewa na bei zake.msaada kwa mwenye uelewa bei na soko na yanauzwaje kwa vipimo gani. Rubi ya rwangwa
Je ni gemstone au semi-gemstone? weka picha
 
Nenda samora jengo la nhc
Ulizia ofisi za wanunuzi wa madini
Ruby iwe yenyewe na yenye ubora tu isiwe magumashi
Utauza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka picha hapa tuone kisije kua kichupa.....!!
Haya kaka nayo ni hayo ama,maana Kuna kifuko kiliokotwa yakakutwa haya na hatujui kama ni yenyewe ama vp
 

Attachments

  • IMG_20250126_181241_665.jpg
    IMG_20250126_181241_665.jpg
    541.1 KB · Views: 5
  • IMG_20250126_181241_665.jpg
    IMG_20250126_181241_665.jpg
    541.1 KB · Views: 4
  • IMG_20250126_181326_646.jpg
    IMG_20250126_181326_646.jpg
    435.1 KB · Views: 5
  • IMG_20250126_181232_435.jpg
    IMG_20250126_181232_435.jpg
    586.1 KB · Views: 4
  • IMG_20250126_181247_603.jpg
    IMG_20250126_181247_603.jpg
    508.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom