babacareeni
Member
- Jan 2, 2013
- 48
- 6
Nina madini ya rubi,nauza ila sina uelewa na bei zake.msaada kwa mwenye uelewa bei na soko na yanauzwaje kwa vipimo gani. Rubi ya rwangwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina madini ya rubi,nauza ila sina uelewa na bei zake.msaada kwa mwenye uelewa bei na soko na yanauzwaje kwa vipimo gani. Rubi ya rwangwa
iko lindiRwanga n wapi
Nina madini ya rubi,nauza ila sina uelewa na bei zake.msaada kwa mwenye uelewa bei na soko na yanauzwaje kwa vipimo gani. Rubi ya rwangwa
Madin ya rodlight nayo vpi?yanauzwaje?
rodlight yanauzwa kwa grm sema unaweza kupata hadi kilo and above...bei yke inabadilikagaMadin ya rodlight nayo vpi?yanauzwaje?
Je ni gemstone au semi-gemstone? weka pichaNina madini ya rubi,nauza ila sina uelewa na bei zake.msaada kwa mwenye uelewa bei na soko na yanauzwaje kwa vipimo gani. Rubi ya rwangwa
Haya kaka nayo ni hayo ama,maana Kuna kifuko kiliokotwa yakakutwa haya na hatujui kama ni yenyewe ama vpweka picha hapa tuone kisije kua kichupa.....!!