Madini

Madini

Delex

New Member
Joined
May 28, 2019
Posts
3
Reaction score
1
Haya madini gani kwa mnao jua madini.
IMG_20190602_213417.jpeg
 
Amethyst -ubora wa hayo mawe uko chini sana

Ova
 
Soko lake lipo au
Soko lipo angalia kwa masonara, wanaotengeneza Vito. Ama Kuna duka Arusha za gemstones tafuta huko mkuu.

Maana gems huwa zina msimu wa uhitaji

Plus wengi wanataka from 1kg and quality pia matters.
 
Back
Top Bottom