Kwa Bongo nakushauri uingie kwenye fani moja kwa moja kabla hujachelewa, na ikiwa unajua vipimo ni hatua kubwa. kutumia mashine utahitaji maelekezo kwa kuwa mashine hizi huenda kasi na ni za hatari sana.

Kaka kabla hujaanza mwenyewe, ungetafuta watu wanofanya hizo kazi, ukajitolea kufanya kazi hapo hata kama bila malipo ilimradi wewe unajua kitu gani unahitaji.