madirisha ya aluminium(aluminium window)

Luno G

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
2,549
Reaction score
1,849
wakuu wapi naweza pata chuo kinachofundisha ufundi wa haya madirisha nimeenda pale veta chang'ombe wamesema hawafundishi
 
Kwa Bongo nakushauri uingie kwenye fani moja kwa moja kabla hujachelewa, na ikiwa unajua vipimo ni hatua kubwa. kutumia mashine utahitaji maelekezo kwa kuwa mashine hizi huenda kasi na ni za hatari sana.
 
ahsante kwa msaada wako
 
Kaka kabla hujaanza mwenyewe, ungetafuta watu wanofanya hizo kazi, ukajitolea kufanya kazi hapo hata kama bila malipo ilimradi wewe unajua kitu gani unahitaji.
 
Back
Top Bottom