NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 733
- 366
Kutokana na Madiwani wa Manispaa ya Kigoma ujiji kuchoshwa na tabia ya Meya Hussein Luhava ya kushirikiana na Zitto Kabwe kuwatumia kwenye kupiga madili mbalimbali kwenye Manispaa ya Kigoma.
Wamemgomea Meya na Zitto Kabwe kushirikiana kwa kile wanachodai hawatendewi haki.
Taarifa kutoka kwa Kalyango anasema wao wamechoshwa na Zitto na Meya ila kabla ya kumgeuka Wametaka Wawavune fedha za kutosha.
Kalyango amebainisha kuwa waliahidiwa Milioni 10 kila Diwani wa ACT Wazalendo kutoka kwa Mkandarasi wa Mwalo wa Ujiji lakini Fedha hizo Kalyango amedai Waligawana Zitto na Meya.
Kwa Hali hiyo wamepanga kujifanya wako na Meya kumbe wananufaika kwa mara ya Mwisho.
Kalyango amebainisha kuwa Madiwani wamepewa kati ya 200,000 na Milioni 1 kulingana na msimamo wa Madiwani ila Wanawake wameahidiwa kuliwazwa na kupewa udiwani wa viti maalum.
Katika hali isiyo ya kawaida Kalyango anamahindisha Meya kwa Maganga wa Kienyeji kati ya 50 wa power Bank za Zitto. Moto umewaka kila kona.
Katika timu ya Meya amebaki Kacheche, Kalyango na Tatu.