Nyie watu wakigoma sijui shida na matatizo ya kigoma yamearibu uelewa wenu maana kukaza mnajua tatizo lenu moja usaliti usaliti likija suala la maslahi hapo ndio mnakwama
Yani msingekuwa na tamaa tamaa za kijinga nadhani kigoma ingekuwa kinara wa upinzani tz tatizo mnaendekeza njaa njaa inawatesa acheni njaa njaa
Maana kigoma mpaka leo kuna sukari ya kupima ya shiringi mia πππ sasa tatizo hili linawafanya msiwe na misimamo mkitangaziwa dau njaa