Madiwani hawa wa CCM ni wanyarwanda

Madiwani hawa wa CCM ni wanyarwanda

KITAHYA

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
25
Reaction score
13
Mheshimiwa rais kufuatana na tangazo lako muhimu naomba nikutaarifu kuwa madiwani wako wawili katika baraza la madiwani la halmashauri ya bukoba ni wanyarwanda. Na kwa hili naomba nifunguke kabisa kwa kukupa majina na kata zao alafu tuone kama kweli unasimamia kauli zako au la

mh: Peter kibogo- diwani wa kata ya butelankuzi
mh: Wilson isaya -diwani wa kikomelo
 
haya haya!!!!!!! Nyie chomaneni tu. Kwa kumkataa meya sasa tuwaumbue na hawa madiwani. Jamani, mbona hamkuweka pingamizi kwenye uchaguzi??? Hizi dhambi za ubaguzi zitakimaliza chama. Mnamwambia JK afanye nini? Hata ya Bk bado aje kuchunguza??? Amesema, wooote walionunua uraia waondoke wenyewe kabla siku 14 kuishia wiki hiiiiii. Waambie waondoke au mtu atapigwa tuuuuuu. Tumechoka. Na hivi Kagame katikisa kibiriti tena. Watapigwa tuuuu
 
Unaanza kushikana uchawi sasa na mtasema yote.

Alafu ni Ujinga kufikiri kikwete anaweza kumchukulia hatua mtu yoyote yakwake yenyewe yanamshinda,au siku hizi utaratibu wa kurindana umekufa CCM!
 
Ila kuweni makini...baadaye nnauhakika mtaanza kusema wahaya ni waganda!
 
Asante kwa taarifa yako nzuri ya kiuchunguzi , japo hayo mambo kwa ccm ni kawaida sana , hivi unajua uraia wa Rostam ?
 
yaani hawa rwanda tukiamua kuwapiga siku tatu tu tumeshaingia kigali
 
Mheshimiwa rais kufuatana na tangazo lako muhimu naomba nikutaarifu kuwa madiwani wako wawili katika baraza la madiwani la halmashauri ya bukoba ni wanyarwanda. Na kwa hili naomba nifunguke kabisa kwa kukupa majina na kata zao alafu tuone kama kweli unasimamia kauli zako au la

mh: Peter kibogo- diwani wa kata ya butelankuzi
mh: Wilson isaya -diwani wa kikomelo

hata dodoma wilaya ya Bahi yupo diwani mmoja wa huko.
 
Mheshimiwa rais kufuatana na tangazo lako muhimu naomba nikutaarifu kuwa madiwani wako wawili katika baraza la madiwani la halmashauri ya bukoba ni wanyarwanda. Na kwa hili naomba nifunguke kabisa kwa kukupa majina na kata zao alafu tuone kama kweli unasimamia kauli zako au la

mh: Peter kibogo- diwani wa kata ya butelankuzi
mh: Wilson isaya -diwani wa kikomelo

...na katibu mkuu wa Chama Cha Madawa ya kulevya Kinana na Rage mbunge wa Tabora mjini nao ni wasomali...
 
Ninachoshauri kwa raia wote wenye asili ya Rwanda wachunguzwe NYENDO zao za walau miaka 5 iliyopita, na hii ifanywe na TISS.

Uchunguzi ujumuishe mawasiliano yao ya simu, imeili na watu wanaokutana nao iwe ndugu au vinginevyo.

Pia, mahojiano kwao sio vibaya kwani itabaini mengi. Isijalishe cheo wala hadhi yake, lakini yafanywe na TISS.
 
naona hoja za kijinga humu, Uzalendo na utaifa ni muhimu duniani kote. Kama mtu ni haramu na inathibitika arudi kwao. Hakuna nchi unaweza ishi so freely kama tz. Naunga mkono move na ianze ya wakenya pia. Nendeni nje muone tunavyonyanyaswa.
 
Huu uchunguzi uendane na uchunguzi wa Mh.Kinana na Rostam Azizi ili wananchi tujiridhishe kuhusu uraia wao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna watu hapa jf sijui wakoje, yaani mnashabikia uhamiaji haramu hamjawahi kusafiri ktk nchi za watu nn? Hakuna nchi yoyote duniani inayoruhusu wahamiaji haramu hata moja yaani Tz inalea lea sana wahamiaji haramu, mm nchi niliyoko huwezi kuzidisha kuishi bila kibali hata siku moja tena ukibainika utajuta kuzaliwa, kufukuza wahamiaji haramu sio ubaguzi ila ni utaratibu wa kisheria dunia zima, mm nafikiri hawa wezetu wanaotetea wahamiaji haramu labda na wenyewe ni wahamiaji haramu, mm nashauri hao madiwani wachunguzwe wakibainika warudishwe kwao haraka sana.
 
Back
Top Bottom