Nawachukia watanzania wanaoshabikia ukabila.
Mkuu hapa suala sio ukabila ni wahamiaji haramu full stop...!! Km na ww ni mmoja wapo fungasha virago vyako uende kwenu, hata mm hapa nilipo ninaishi ktk nchi za watu lakini naishi kwa utaratibu maalum kisheria, huwezi kuishi nchi za watu kienyeji enyeji.