Kuna watu hapa jf sijui wakoje, yaani mnashabikia uhamiaji haramu hamjawahi kusafiri ktk nchi za watu nn? Hakuna nchi yoyote duniani inayoruhusu wahamiaji haramu hata moja yaani Tz inalea lea sana wahamiaji haramu, mm nchi niliyoko huwezi kuzidisha kuishi bila kibali hata siku moja tena ukibainika utajuta kuzaliwa, kufukuza wahamiaji haramu sio ubaguzi ila ni utaratibu wa kisheria dunia zima, mm nafikiri hawa wezetu wanaotetea wahamiaji haramu labda na wenyewe ni wahamiaji haramu, mm nashauri hao madiwani wachunguzwe wakibainika warudishwe kwao haraka sana.