Nawachukia watanzania wanaoshabikia ukabila.
Nawachukia watanzania wanaoshabikia ukabila.
Haya sasa naona kumekucha....Mheshimiwa rais kufuatana na tangazo lako muhimu naomba nikutaarifu kuwa madiwani wako wawili katika baraza la madiwani la halmashauri ya bukoba ni wanyarwanda. Na kwa hili naomba nifunguke kabisa kwa kukupa majina na kata zao alafu tuone kama kweli unasimamia kauli zako au la
mh: Peter kibogo- diwani wa kata ya butelankuzi
mh: Wilson isaya -diwani wa kikomelo
Mkuu hapa suala sio ukabila ni wahamiaji haramu full stop...!! Km na ww ni mmoja wapo fungasha virago vyako uende kwenu, hata mm hapa nilipo ninaishi ktk nchi za watu lakini naishi kwa utaratibu maalum kisheria, huwezi kuishi nchi za watu kienyeji enyeji.
Wamegusa interest zako nn mkuu??
Mkuu acha longolongo,kama umezaliwa Rwanda unapaswa kuishi Rwanda na kama unataka kuishi Tanzania au sehemu nyingine Dunia ni muhimu kufuata sheria za nchi husika!Naililia Tanzania ,ni DHAMBI KUZALIWA MNYARWANDA?je kila mwanchi wa TZ ana certificate za kumuonesha kuwa ni mtanzania?south africa wana kampeni inaitwa WAIT TILL MANDELA DIES ya kuwamaliza na kuwaua watu weupe na tanzania tena,,,,,,,,,
Kuna watu hapa jf sijui wakoje, yaani mnashabikia uhamiaji haramu hamjawahi kusafiri ktk nchi za watu nn? Hakuna nchi yoyote duniani inayoruhusu wahamiaji haramu hata moja yaani Tz inalea lea sana wahamiaji haramu, mm nchi niliyoko huwezi kuzidisha kuishi bila kibali hata siku moja tena ukibainika utajuta kuzaliwa, kufukuza wahamiaji haramu sio ubaguzi ila ni utaratibu wa kisheria dunia zima, mm nafikiri hawa wezetu wanaotetea wahamiaji haramu labda na wenyewe ni wahamiaji haramu, mm nashauri hao madiwani wachunguzwe wakibainika warudishwe kwao haraka sana.
Mimi ni mkenya. Sema tz nipo kuchuma tu, na jinsi mlivyo wajinga, tutamiliki ardhi yote na ninyi mtakuwa watumwa wetu
Weye ni lijinga sana. Mambo za kongo zinatuhusu nini sisi? Hivi hujui congo mobutu aliishi kwa damu za watu? he was eventually paid on what he did to patrick lumumba. Wala usilinganishe na Tz, wanyarwanda ni wakimbizi wenye haki zote, wala usidhani wataogopa.hawa wanyarwanda hawana adabu kabisa tujikumbushe kidogo wakati wa mabutu huko zaire congo ya sasa mabutu aliwapoke kwa roho safi kabisa akawapa na ardhi leo hii tunayaona wanyarwanda wa congo wamewakgeuka wacongo sasa hivi wanawauwa wacongo kama kuku,hapa kwetu wanyarwanda wamejaa kitu ambacho kikwete amesahau hajuwai kwamba hawa watu wapo mikowa yote, kwa sasa,msako unatakiwa uwe nchi nzima siyo mikowa 3pekee,tusipo kuwa macho kunasiku tutajikuta tunapigana na wanyarwanda wakijifanya wao ni watanzania kama ambavyo tunayaona huko congo,kama kunamtanzania anajifanya kuwaonea huruma hawa wanyarwanda afungashe aondoke nao hawa niwashenzi zaidi ya nyoka mwenye sumu,wakiachiwa kuishi hapa tanzania kunasiku watashika bunduki waanze kutuuwa kama wanavyo fanya huko congo.
Naililia Tanzania ,ni DHAMBI KUZALIWA MNYARWANDA?je kila mwanchi wa TZ ana certificate za kumuonesha kuwa ni mtanzania?south africa wana kampeni inaitwa WAIT TILL MANDELA DIES ya kuwamaliza na kuwaua watu weupe na tanzania tena,,,,,,,,,
Mimi ni mkenya. Sema tz nipo kuchuma tu, na jinsi mlivyo wajinga, tutamiliki ardhi yote na ninyi mtakuwa watumwa wetu
Sasa nyinyi wazawa mko wapi? Au Mnaridhika kutawaliwa na wageni?Hivi yule Meya wa Bukoba anatory amani ni raia wa tanzania? JK ana kazi kweli kweli.
Asilimia 75 ya viongozi wa kisiasa mkoa wa kagera ni kutoka ama UGANDA,RWANDA au BURUNDI.
Weye ni lijinga sana. Mambo za kongo zinatuhusu nini sisi? Hivi hujui congo mobutu aliishi kwa damu za watu? he was eventually paid on what he did to patrick lumumba. Wala usilinganishe na Tz, wanyarwanda ni wakimbizi wenye haki zote, wala usidhani wataogopa.
Kikwete ameliingiza taifa katika machafuko.