Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.
Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero.
Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine. Tatizo ni Mwigulu Nchemba kupenda ushuru usio wa lazima wakati kuna vyanzo kibao vya mapato.