std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,293
- 3,928
Alafu wanamwita rais wa wanyonge anaona sifa kumbe unyonge wenyewe umeletwa na unyanyaji na ufisadi wa serikali ya CCM.Aisee ni janga la taifa hii kitu, CCM kazi yao ni kutumia linear equations za kuongeza umaskini, ufukara, ujinga, upumbavu, magonjwa ili waendelee kufanya yao