Madiwani Tanzania nzima hawazitaki mashine za kamari za kichina ila Serikali kuu chini ya Mwigulu inaziruhusu

Aisee ni janga la taifa hii kitu, CCM kazi yao ni kutumia linear equations za kuongeza umaskini, ufukara, ujinga, upumbavu, magonjwa ili waendelee kufanya yao
Alafu wanamwita rais wa wanyonge anaona sifa kumbe unyonge wenyewe umeletwa na unyanyaji na ufisadi wa serikali ya CCM.
 
Mashine za kamari na biashara ya pombe kwenye kila duka mitaani ndio umasikini na kaburi la maendeleo ya vijana wa Tanzania.
Hili linadhihirisha ni jinsi gani tulivyo na viongozi wa hovyo wasiojali kwa kulinda maadili ya kizazi na miiko ya uongozi.
Hakuna haja ya kiongozi ikiwa kila mtu ata achwa afanye atakavyo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi nayo tunazidi kuwalaumu serikali 🤣
Wew mtoto wako unamtuma kazi, anaenda cheza dubu, usimlaumu Mwigulu, jilaumu wew kwa kufeli malezi, tunahitaji kujenga kizazi chenye nidhamu, ambacho hata kikiona madubu mia kinajua kamari sio nzima,

Tujenge kizazi ambacho hata kione bia za bure kret 70 kijue bia nakunywa mwisho 2 nyingine naacha, ila sasa wazazi tunaacha watoto ovyo kisha tunalaumu serikali
 
Mwigulu lazima alaumiwe acha ufala. Kwa nini vifaa vingine ambavyo vinamadhara kwa taifa vinazuiwa kuingia nchini. Lakini madubu anayafagilia.
 
Ukizungumza haya watu wanakuonea huna akili , kwamba uwepo wake inakuhusu nini au unakuathiri wapi

Wanashindwa kujua watu wanafikiria jamii yote sio wewe tu , jamii iliathirika na wewe unaathirika

Mtaa ukiwa na vibaka na wezi lazima na wewe utaathirika na janga hilo ima kuibiwa au wanao kujiunga kuwa wadokozi na hatimae vibaka.

Mtu anafoka we inakuuma nini, wewe inakuathiri nini. Hizi mashine zinafanya watu wawe na ubongo ulio lemaa , uwezo unashuka , mtu hafikirii beyond ya hapo kupata kipato anaona ndio njia rahisi na ya haraka kupata hela
 
Sio kwamba kuna ushirikina?
Ni utaalamu tu wa zile taa zake na rangi rangi zile zikichanganyika na sauti tofauti tofauti zinazosikika katika kila unapoizungusha mashine ndio zinazokwenda kuuteka ubongo wa mchezaji na kumfanya anakuwa Teja wa hizo mashine !!
Hatari sana ! Duniani kote zilipo hizi mashine watu wanalia !!
 
Ukizungumza haya watu wanakuonea huna akili , kwamba uwepo wake inakuhusu nini au unakuathiri wapi

Wanashindwa kujua watu wanafikiria jamii yote sio wewe tu , jamii iliathirika na wewe unaathirika

Mtaa ukiwa na vibaka na wezi lazima na wewe utaathirika na janga hilo ima kuibiwa au wanao kujiunga kuwa wadokozi na hatimae vibaka.

Mtu anafoka we inakuuma nini, wewe inakuathiri nini. Hizi mashine zinafanya watu wawe na ubongo ulio lemaa , uwezo unashuka , mtu hafikirii beyond ya hapo kupata kipato anaona ndio njia rahisi na ya haraka kupata hela
Kabisa kabisa 👍💯🙏
 
Huna hoja
 
Hizo Mashine wewe binafsi zinakuathiri vipi na uwepo wake?
Wewe jaribu kufikiria tutakuwa na kizazi Cha aina gani huko mbeleni...!

Badala ya vijana kutumia akili zao kubuni njia bora za kuzalisha kipato wanajenga uraibu wa michezo ya kubahatisha!
 
Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.

Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero.

Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine. Tatizo ni Mwigulu Nchemba kupenda ushuru usio wa lazima wakati kuna vyanzo kibao vya mapato.

View attachment 2814179View attachment 2814183
🎶🎶Ni Kweli pesa sina nacheza michezo ya Bahati Nasibu🎶
🎶Na mi nakomaa Aah aah Nizishike Pesa kama kina Nasibu🎶
MADUBU YA WACHINA 😅😅
Yanamaliza vichenchi kila nikijaribu..
Hivi leo ntakula Kweli?
namuuza mwanangu Ibrahimu Ajibu...🎶🎶

KONTAWA 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom