Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Yeye mwenyewe anazo ngapi?Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine. Tatizo ni Mwigulu Nchemba kupenda ushuru usio wa lazima wakati kuna vyanzo kibao vya mapato.
Kumbe na yeye anazo?Yeye mwenyewe anazo ngapi?
Inatajwa anazo kibao, hapo ndipo ujue unapigana vita na naniKumbe na yeye anazo?
Hili ndilo tatizo la kufeli form 4!Pumbavu, mpuuzi mkubwa
Mashine za kamari na biashara ya pombe kwenye kila duka mitaani ndio umasikini na kaburi la maendeleo ya vijana wa Tanzania.Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.
Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero.
Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine. Tatizo ni Mwigulu Nchemba kupenda ushuru usio wa lazima wakati kuna vyanzo kibao vya mapato.
View attachment 2814179View attachment 2814183
Fanya yako na ulipe KodiLeo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.
Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero.
Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine. Tatizo ni Mwigulu Nchemba kupenda ushuru usio wa lazima wakati kuna vyanzo kibao vya mapato.
View attachment 2814179View attachment 2814183
Nimefanya hii kazi kwa mwaka mzima mwaka 2014 nina ushuhuda mchungu sana jinsi nchi inavyoliwa na wanaojiita wazalendoHizi ni za akina Mwigulu
Aisee ni janga la taifa hii kitu, CCM kazi yao ni kutumia linear equations za kuongeza umaskini, ufukara, ujinga, upumbavu, magonjwa ili waendelee kufanya yaoLeo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.
Leo hii Walimu wamegeuza mashine za kamari za kichina kama sehemu ya kuongeza kipato wanaliwa mpaka inakuwa kero.
Kila halmashauri hapa nchini madiwani wanajadili namna ya kuziondoa hizi mashine. Tatizo ni Mwigulu Nchemba kupenda ushuru usio wa lazima wakati kuna vyanzo kibao vya mapato.
View attachment 2814179View attachment 2814183
Mkuu wezi no 1 nchi hii ni hawa wavaa tai za bendera ya taifa, nchi inatafunwa haswa na haya majangili yanakuwa kwenye V8Nimefanya hii kazi kwa mwaka mzima mwaka 2014 nina ushuhuda mchungu sana jinsi nchi inavyoliwa na wanaojiita wazalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo mashine zimetengenezwa kitaalamu kuwafanya wachezaji wawe addicted !Leo hii mtoto akitumwa to sokoni lazima aingie chocho kucheza bonanza akiliwa ndio hivyo tena.