johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakifanya hayo then umaskini unatoka si ndiyo?
Waende, tegemeo lao kuwa watapitishwa bila kupingwa. Ngoja Jiwe azimie usiku kama hawakujinyonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa lumumba kuna mbunge mwingine atapokelewa kesho!Hii siyo habari labda kwenu lumumba
In God we Trust
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakifanya hayo then umaskini unatoka si ndiyo?
Wanasubiri nini hao? Hao ni Ng'ombe waliokatika mkia au malaya wa kisiasaBaada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na kigogo mmoja wa chama atakayezuru Ndanda na Masasi hivi karibuni.
Maendeleo hayana vyama!
Wanarudi nyumbani!Watakutana na wakongwe wa CCM waliojipanga kugombea nafasi hizo. Yaani wataishi kama watoto wa kambo mpaka uchaguzi uishe.
Duuh!Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na kigogo mmoja wa chama atakayezuru Ndanda na Masasi hivi karibuni.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa........ Mtasema yote mwaka huu!Duh viwanda vitaongezeka
Uchumi utapaa kwa asilimia kubwa Sana sasa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo nchi unaenda Rudi Single Political Party 2020. Siwaskii Cuf, nld, UDP, nccrmageuzi.Baada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.