myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawa.... Siasa za dunia ya tatu....kadiBaada ya aliyekuwa Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe kuhamia CCM inaelezwa kuwa madiwani wawili wa jimbo la Mtama watajiunga na CCM wakati wowote kuanzia sasa.
Taarifa zinadai kuwa huko Ndanda maelfu ya wana-Chadema wamerejesha kadi na bendera za chama hicho na wanasubiri kukabidhiwa kadi za CCM na kigogo mmoja wa chama atakayezuru Ndanda na Masasi hivi karibuni.
Maendeleo hayana vyama!